Nimejikuta nacheka,jamani
manengelo, njoo huku uone sms za wadaiwa
Hao wamekubali kushindwa.Hahahahaaa... TALA wamepotelea wapi??
Watanzania sio watu wazuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]wamewaajiri watunga mashairi na wanukuu wa maneno ya vitabu vya dini.
Nimejikuta nacheka,jamani
manengelo, njoo huku uone sms za wadaiwa
[emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa ni mtumishii.I thnk muandika sms ni mwokovu..hjjaa maana kasema hyo roho ya madeni ife[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!hajui maisha tite ss hv .hahhj
Wajibu kazi na dawa kwa hisani ya Zitto...Hivyo waambie hela yao unaipigia bata sahivi.