Vitisho vya Branch

Vitisho vya Branch

Mimi nimekula ela yao kubwa kweli hivi sasa kwenye sms nimeblock sms zote zenye keyword BRANCH wajinga hawa walikua wanakula tu riba zangu nikawavutia pumzi tu...Anyway mdaiwa hafungwi waje huku mbinga wafungue kesi wakishinda nitawapa chao...
[emoji23][emoji23][emoji23]mi wanakuja na namba mpya daily.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya wafrika ni wagumu sana kulipa madeni hasa hawa watanzania. Kuna jamaa aliniomba 10,000 alikuja analia lia. Nikamwambia nitakupa 5,000 akasema poa. Mpaka wa leo hajawahi kunilipa huu ni mwaka wa 5. Siku nilimuomba alikuwa na kiburi na dharau sana. Nikavunja urafiki. Nishaapa maishani, siwezi kumkopesha mtu yoyote yule hata uje unatoa machozi ya damu. Ukitaka nikukopeshe pesa, njoo na kitu uweke chenye thamani ya pesa unayotaka. Vinginevyo, niite majina utakayo lakini siwezi kukupa pesa labda nikusaidie. Mtu anakuja na shida analia lia. Uukishampa hela tu anaanza kiburi na dharau yaani mtu unamdai pesa zako halafu unaanza kumtafuta. Huo ujinga siwezi.
Mimi nimekula ela yao kubwa kweli hivi sasa kwenye sms nimeblock sms zote zenye keyword BRANCH wajinga hawa walikua wanakula tu riba zangu nikawavutia pumzi tu...Anyway mdaiwa hafungwi waje huku mbinga wafungue kesi wakishinda nitawapa chao...
 
Well, ni maamuzi tu kama maamuzi mengine.
Shida ya wafrika ni wagumu kulipa deni hasa hawa watanzania. Kuna jamaa aliniomba 10,000 alikuja analia lia. Nikamwambie nitakupa 5,000 akasema poa. Mpaka wa leo hajawahi kunilipa huu ni mwaka wa 5. Siku nilimuomba alikuwa na kiburi na dharau sana. Nikavunja urafiki. Nishaapa maishani, siwezi kumkopesha mtu yoyote yule hata uje unatoa machozi ya damu. Ukitaka nikukope njoo na kitu uweke chenye thamani ya pesa unayotaka. Vinginevyo, niite majina utakayo lakini siwezi kukupa pesa. Mtu anakuja na shida analia lia. Uukishampa hela tu anaanza kiburi na dharau yaani mtu unamdai pesa zako halafu unaanza kumtafuta. Huo ujinga siwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya wafrika ni wagumu sana kulipa madeni hasa hawa watanzania. Kuna jamaa aliniomba 10,000 alikuja analia lia. Nikamwambia nitakupa 5,000 akasema poa. Mpaka wa leo hajawahi kunilipa huu ni mwaka wa 5. Siku nilimuomba alikuwa na kiburi na dharau sana. Nikavunja urafiki. Nishaapa maishani, siwezi kumkopesha mtu yoyote yule hata uje unatoa machozi ya damu. Ukitaka nikukopeshe pesa, njoo na kitu uweke chenye thamani ya pesa unayotaka. Vinginevyo, niite majina utakayo lakini siwezi kukupa pesa labda nikusaidie. Mtu anakuja na shida analia lia. Uukishampa hela tu anaanza kiburi na dharau yaani mtu unamdai pesa zako halafu unaanza kumtafuta. Huo ujinga siwezi.
sasa utalipaje deni wakati hela sina subiri tutusue biko utalipwa!!!
 
Ni bora umsaidie mtu kuliko kumkopesha. Hawa watu wanadharau sana. Kama mtoa uzi anadaiwa halafu anaona kama anasumbuliwa kuambiwa alipe deni. Bila mkulima wa South Afrika kukamata ndege asingepewa hela yake. Wafrika ni wagumu sana kulipa madeni
Well, ni maamuzi tu kama maamuzi mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya deni ni kulipa. Hizi ndizo dharau za wafrika wanavyojibu baada ya kukopa pesa. Mimi mpaka kesho kutwa ni bora urafiki ufe lakini siyo kukopesha pesa yangu aise. Unajibu kabisa subiri hela ya Biko, kwanini wewe usingecheza Biko ukapata hiyo hela?
sasa utalipaje deni wakati hela sina subiri tutusue biko utalipwa!!!
 
Branch,tala,l-pesa wananidai na sina mpango wa kuwalipa baada ya kunipigia sana simu na kunitumia message kuna siku dada mmoja alinipigia nikapokea kwa upole masikini ya mungu yule dada akasema "we kaka kauzu lipa hata nusu basi"
 
Ni bora umsaidie mtu kuliko kumkopesha. Hawa watu wanadharau sana. Kama mtoa uzi anadaiwa halafu anaona kama anasumbuliwa kuambiwa alipe deni. Bila mkulima wa South Afrika kukamata ndege asingepewa hela yake. Wafrika ni wagumu sana kulipa madeni
Hahah [emoji23] we jamaaa, ebu chill kwanzaa, povu la nini mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya deni ni kulipa. Hizi ndizo dharau za wafrika wanavyojibu baada ya kukopa pesa. Mimi mpaka kesho kutwa ni bora urafiki ufe lakini siyo kukopesha pesa yangu aise. Unajibu kabisa subiri hela ya Biko, kwanini wewe usingecheza Biko ukapata hiyo hela?
Hatulipi sasaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni maamuzi yako. Ulipe au usilipe. Ni juu yako wala hainuhusu
Ila kwangu siwezi kumkopesha mtu pesa yangu. Ni bora hiyo pesa ninayotaka kukopesha ni bora nimtumie mama yangu au ninunue gunia la mchele niweke ndani.
Na wewe hayo ni maamuzi yako kama mtu mwingine baki na msimamo wako, acha si tudaiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako sawa Mlipe kwa nini mnataka kuwadhurumu.

Kumbuka maneno matakatifu: Mali ya mtu ilipo na roho yake ipo.

Akikasirika na wewe vivyo hivyo.

Akiugua na wewe vivyo hivyo.

Akirogwa na wewe hivyo hivyo.

Kuwa makini lipa madeni ya watu.😳😳😳😳😳
 
Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom