Vitisho vya Branch

Vitisho vya Branch

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Dawa ya Deni ni kulipa ila Branch kwa hizi message zenu za vitisho mnazonitumia hii sio sawa, hao watu wenu wa customer care inabidi wajifikilie mara mbili mbili, deni lenyewe buku tano ila message kama tunadaiana milioni wazee, acheni hizo.
20191230_134057.jpeg
20191230_134030.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii branch ndio kitu gani?

maana nilifungua harakaharaka nikijua unamaanisha branch ni Mosad,MI6 au CIA au TISS

haya bana; lakini dawa ya deni ni kulipa;lipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekula ela yao kubwa kweli hivi sasa kwenye sms nimeblock sms zote zenye keyword BRANCH wajinga hawa walikua wanakula tu riba zangu nikawavutia pumzi tu...Anyway mdaiwa hafungwi waje huku mbinga wafungue kesi wakishinda nitawapa chao...
 
Back
Top Bottom