[emoji23][emoji23][emoji23]mi wanakuja na namba mpya daily.Mimi nimekula ela yao kubwa kweli hivi sasa kwenye sms nimeblock sms zote zenye keyword BRANCH wajinga hawa walikua wanakula tu riba zangu nikawavutia pumzi tu...Anyway mdaiwa hafungwi waje huku mbinga wafungue kesi wakishinda nitawapa chao...
usiblock namba block neno branch kila sms itakayoingia ya branch hutaiona...
usiblock namba block neno branch kila sms itakayoingia ya branch hutaiona...
Mimi nimekula ela yao kubwa kweli hivi sasa kwenye sms nimeblock sms zote zenye keyword BRANCH wajinga hawa walikua wanakula tu riba zangu nikawavutia pumzi tu...Anyway mdaiwa hafungwi waje huku mbinga wafungue kesi wakishinda nitawapa chao...
Shida ya wafrika ni wagumu kulipa deni hasa hawa watanzania. Kuna jamaa aliniomba 10,000 alikuja analia lia. Nikamwambie nitakupa 5,000 akasema poa. Mpaka wa leo hajawahi kunilipa huu ni mwaka wa 5. Siku nilimuomba alikuwa na kiburi na dharau sana. Nikavunja urafiki. Nishaapa maishani, siwezi kumkopesha mtu yoyote yule hata uje unatoa machozi ya damu. Ukitaka nikukope njoo na kitu uweke chenye thamani ya pesa unayotaka. Vinginevyo, niite majina utakayo lakini siwezi kukupa pesa. Mtu anakuja na shida analia lia. Uukishampa hela tu anaanza kiburi na dharau yaani mtu unamdai pesa zako halafu unaanza kumtafuta. Huo ujinga siwezi.
sasa utalipaje deni wakati hela sina subiri tutusue biko utalipwa!!!Shida ya wafrika ni wagumu sana kulipa madeni hasa hawa watanzania. Kuna jamaa aliniomba 10,000 alikuja analia lia. Nikamwambia nitakupa 5,000 akasema poa. Mpaka wa leo hajawahi kunilipa huu ni mwaka wa 5. Siku nilimuomba alikuwa na kiburi na dharau sana. Nikavunja urafiki. Nishaapa maishani, siwezi kumkopesha mtu yoyote yule hata uje unatoa machozi ya damu. Ukitaka nikukopeshe pesa, njoo na kitu uweke chenye thamani ya pesa unayotaka. Vinginevyo, niite majina utakayo lakini siwezi kukupa pesa labda nikusaidie. Mtu anakuja na shida analia lia. Uukishampa hela tu anaanza kiburi na dharau yaani mtu unamdai pesa zako halafu unaanza kumtafuta. Huo ujinga siwezi.
sasa utalipaje deni wakati hela sina subiri tutusue biko utalipwa!!!
sasa utalipaje deni wakati hela sina subiri tutusue biko utalipwa!!!
Hahah [emoji23] we jamaaa, ebu chill kwanzaa, povu la nini mkuu???Ni bora umsaidie mtu kuliko kumkopesha. Hawa watu wanadharau sana. Kama mtoa uzi anadaiwa halafu anaona kama anasumbuliwa kuambiwa alipe deni. Bila mkulima wa South Afrika kukamata ndege asingepewa hela yake. Wafrika ni wagumu sana kulipa madeni
Hatulipi sasaa.Dawa ya deni ni kulipa. Hizi ndizo dharau za wafrika wanavyojibu baada ya kukopa pesa. Mimi mpaka kesho kutwa ni bora urafiki ufe lakini siyo kukopesha pesa yangu aise. Unajibu kabisa subiri hela ya Biko, kwanini wewe usingecheza Biko ukapata hiyo hela?
Kaka kauzu.Branch,tala,l-pesa wananidai na sina mpango wa kuwalipa baada ya kunipigia sana simu na kunitumia message kuna siku dada mmoja alinipigia nikapokea kwa upole masikini ya mungu yule dada akasema "we kaka kauzu lipa hata nusu basi"
Na wewe hayo ni maamuzi yako kama mtu mwingine baki na msimamo wako, acha si tudaiwe.Hayo ni maamuzi yako. Ulipe au usilipe. Ni juu yako wala hainuhusu
Ila kwangu siwezi kumkopesha mtu pesa yangu. Ni bora hiyo pesa ninayotaka kukopesha ni bora nimtumie mama yangu au ninunue gunia la mchele niweke ndani.
Sawa.Wako sawa Mlipe kwa nini mnataka kuwadhurumu.
Kumbuka maneno matakatifu: Mali ya mtu ilipo na roho yake ipo.
Akikasirika na wewe vivyo hivyo.
Akiugua na wewe vivyo hivyo.
Akirogwa na wewe hivyo hivyo.
Kuwa makini lipa madeni ya watu.π³π³π³π³π³
Hahah [emoji23] we jamaaa, ebu chill kwanzaa, povu la nini mkuu???
Sent using Jamii Forums mobile app