Dawa ya Deni ni kulipa ila Branch kwa hizi message zenu za vitisho mnazonitumia hii sio sawa, hao watu wenu wa customer care inabidi wajifikilie mara mbili mbili, deni lenyewe buku tano ila message kama tunadaiana milioni wazee, acheni hizo.View attachment 1307261View attachment 1307262