Dorome
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 397
- 746
2%TUGHE wanakata asilimia ngapi kwenye mishahara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2%TUGHE wanakata asilimia ngapi kwenye mishahara?
Hebu sema hao Tughe wanafaidika na nini kwenye hicho chama chao?Wewe ndio hujui unachokiongea, haya hebu niambie TUGHE wanaibiwaje na viongozi wake kama ilivyo CWT cha Waalimu?
Sasa hiyo in tofauti gani na CWT?
Sasa hivi kila mtu anaanzisha chama cha wafanyakazi ili awaibie Watumishi kwa kushirikiana na serikali.CHAKUHAWATA?Like seriously, hicho chama kinaitwa hivyo?
Kuibiwa waibiwe wao, wewe nini kinachokuuma? Fanya yako au yako yamekushinda?
Kofia na kuchaguliwa kusimamia kura au mitihani basi wanaona ndio dili.SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa
Wapowapo tu.
Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
Kujiunga na chama cha wafanyakazi siyo lazima.SIO LAZIMA, Lakini si unawajua Waalimu wa Tanzania walivyo, hawaandamani kupinga makato au hata kuhoji kwanini Wanakatwa
Wapowapo tu.
Yaani faida wanayopata ni T-shirt tu.
Ndugu yangu wewe inaonekana huwajui walimu wa Tanzania. Ni watu waoga kuliko kiumbe chochote kilichoumbwa na Mungu juu ya uso wa dunia hii. Wanatishwa kama watoto, huburuzwa, hufokewa mpaka na watu wa masjala kiufupi kuwa mwalimu Tanzania ni janga.Huo ujinga wao Sasa mtu unaingiaje kwenye chama hauna maslah nacho
Ukiondoa walimu na madaktari ni watumishi gani wengine wa umma walishawahi kugoma na kuisumbua serikali Tanzania?Ndugu yangu wewe inaonekana huwajui walimu wa Tanzania. Ni watu waoga kuliko kiumbe chochote kilichoumbwa na Mungu juu ya uso wa dunia hii. Wanatishwa kama watoto,huburuzwa,hufokewa mpaka na watu wa masjala kiufupi kuwa mwalimu Tanzania ni janga.
"Agency fee" serikali ya CCM ndio imepitisha hiyoKujiunga na chama cha wafanyakazi siyo lazima.
Ila kukatwa makato Ni LAZIMA hata ukwepe vipi.
Sheria inavitaka vyama vya wafanyakazi kukata Kuna kitu wanaita ADA YA UWAKALA, na hii Ni kwa Watumishi wote ambao siyo wanachama ila wanafanya kazi sehemu ambayo theluthi ya Watumishi Ni wanachama.
Kwahiyo vyama vya wafanyakazi huwa vinatumia huo mwanya kukata 2% ya mtumishi yeyote awe Mwanachama au asiwe Mwanachama.
Walimu wapi wewe unawaongelea? Hawa wanaozabwa viboko na wakuu wa wilaya kama watoto.Ukiondoa walimu na madaktari ni watumishi gani wengine wa umma walishawahi kugoma na kuisumbua serikali Tanzania?
Kwahiyo???"Agency fee" serikali ya CCM ndio imepitisha hiyo
Hao walimu unaowatuhumu kwamba wanashirikiana na misisiyemu kuiba kura si kweli kwani hawana mandate hiyo hata kidogo na access ya kufanya hivyo hayo mambo hayawezi kufanyika ngazi ya chini hasa kwenye polling station .so try to rethink your allegations are not validMasuala ya Walimu na chama chao tunawaachia wao na CCM wanayoshirikiana nayo kuiweka madarakani kwa dhuluma kila uchaguzi
I feel sorry for teachers Ila nyie wasaliti sana ni mpaka mtakapoamua kuwaomyesha CCM wazi kwamba hamkubaliani na dhuluma hizo ndio mtarudisha heshima kwa jamii.
Kwa sasa pambaneni.
Watumishi gani wengine ambao sio waoga Tanzania niambie?Walimu wapi wewe unawaongelea? Hawa wanaozabwa viboko na wakuu wa wilaya kama watoto.
Mbona inaruhusiwa mwalimu kujitoa uanachama CWT. Ipo fomu maalum kwa KM wizara ya elimu inayoruhusu mwalimu kujitoa CWT. Waende kwa KM wizara ya elimu wataipata ile fomu.Watumishi gani wengine ambao sio waoga Tanzania niambie?
Walau hata walimu walishajaribu kugoma na kuisumbua serikali miaka flani
Mwalimu hawezi kuiba kura na kura haziwezi kuibiwa kwenye kituo cha kupigia kura maana kule ndani kuna mawakala wa vyama vyote. Michezo hiyo hufanyika kata na wilayani wakati wa kujumlisha ambapo mwalimu hahusikiHao walimu unaowatuhumu kwamba wanashirikiana na misisiyemu kuiba kura si kweli kwani hawana mandate hiyo hata kidogo na access ya kufanya hivyo hayo mambo hayawezi kufanyika ngazi ya chini hasa kwenye polling station .so try to rethink your allegations are not valid
Ofisini kwake Dodoma?Mbona inaruhusiwa mwalimu kujitoa uanachama CWT. Ipo fomu maalum kwa KM wizara ya elimu inayoruhusu mwalimu kujitoa CWT. Waende kwa KM wizara ya elimu wataipata ile fomu.