Vitisho vya Chama cha Walimu Tanzania(CWT) dhidi ya walimu nchini

Umeshawahi kusoma Sheria ya ajira na mahusiano kazini?

Umewahi kusoma hata Katiba za vyama vya wafanyakazi?

Unajua Ada ya Iwakala ( Agency fees ) ?

Niliajiriwa kama Afisa Utumisi Drj 11 (ofisi ya RAS mkoa sitaji) Mwaka 2006 ngazi ya msaara TGS D nakumbuka ilikuwa kama 270,000 kwa sasa ni Meneja Utumisi na Utawala kwenye Sirika la Umma (silitaji) ELRA 2004 na Amendments zake za 2015 ni moja wapo ya nyenzo zangu za kazi.

Embu pitia vifungu vya ELRA 2004 hapo chini ujielimishe zaidi

61.-(1) An employer shall deduct dues of a registered trade union from an employee's wages if that employee has authorised the employer to do so in the prescribed form.

(4) An employee may revoke an authorisation by giving one month's written notice to the employer and the trade union. (5) Where an employee revokes any authorization under subsection

(3), the employer shall cease to make any deductions after the expiry of the notice

Agency Shop agreements
72.-(1) An agreement that compels an employee to become a member of a trade union is not enforceable.

(2) A recognised trade union and employer may conclude a collective agreement providing for an agency shop.

(3) The requirements for a binding agency shop agreement are:
(a) the agreement applies to employees in the bargaining unit only;
(b) employees who are not members of the trade union are not compelled to become members;
(c) any agency fee deducted from the remuneration of an employee, who i s not a member, i s equivalent to, or Less than, the union dues deducted by the employer from the remuneration of a member;

(9) For the purposes of this section, ''agency shop'' means a union security arrangement in terms of which employees in a bargaining unit, who are not members of the recognised trade union, are required to pay an agency fee to the trade union.
 
Hebu acha kudanganya watu hakuna maboresho yeyote yaliyo fanywa na serikali kwa watumishi wa umma kwa sababu ya pressure ya chama chochote cha wafanyakazi, bali maboresho yeyote yanayo fanywa na serikali kwa watumishi wa umma ni kutokana na mipango na matakwa ya serikali yenyewe.

Ndio maana serikali haikupandisha watumishi madaraja miaka mitano mfurulizo wa nyongeza ya mishahara na hakuna chama kilicho itisha maandamano wala mgomo si TUGHE, TALWGU wala CWT sasa unapataje nguvu ya kuwananga walimu na chama chao wakati vyama vyote vina fanana sifa na vina wanachama.
Madhila ya walimu yanawazidi wote hao wa vyama vingine.Walimu wa sasa ana heshima ndogo sana mbele ya jamii. wanachapagwa hadi fimbo na vibao na wanasiasa na hawana chakufanya.Hapo bado maslahi na makazi ni shida.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Agency Shop agreements
72.-(1) An agreement that compels an employee to become a member of a trade union is not enforceable.

(2) A recognised trade union and employer may conclude a collective agreement providing for an agency shop.

(c) any agency fee deducted from the remuneration of an employee, who i s not a member, i s equivalent to, or Less than, the union dues deducted by the employer from the remuneration of a member;
Mimi sielewi unachobisha Ni kitu gani ?

Haya sema, wakati wewe Ni Afisa Utumishi mlikuwa mnakata asilimia ngapi kama Ada ya UWAKALA?

Screenshot_2022-02-23-09-29-18-126_com.android.chrome.png
 
Hakuna chama Chenye uwezo wa KUIVIMBIA serikali.

Na ndio maana Mimi nasema, hakuna haja ya chama cha wafanyakazi.

Muhimu Ni kujitahidi kutofanya makosa makubwa kazini na kama ikitokea tafuta tu mwanasheria.
Serikali ya CCM imelazimisha haya mambo, haya mambo ya vyama yanapaswa kuwa hiyari, lakini huko ni lazima, enzi za mkoloni kweli tungekuwa na vyama kutetea maslahi! Sasa wamelazimisha Kwa maslahi Yao!
 
Hapa hakuna Cha CCM Wala Nani ?

Hakuna mwajiri anayependa kusumbuliwa na Watumishi wake.
 
Mwajiri amuache huyo mtumishi afie mbele na shida zake kama hataki kujiunga na hivyo vyama, siyo kulazimisha mtumishi lazima awe kwenye chama, akikataa akatwe Ada ya udalali inayoitwa UWAKALA!

Wakulima wanatulazimisha tuwe kwenye vyama vya msingi AMCOS, siyo tuungane tupatiwe pembejeo na utalaam wa kilimo, HAPANA, ukija kuangalia kiundani lengo kuu ni kuhakikisha taasisi za kiserikali zinatunyang'anya fedha kutokana na mauzo ya mazao, utakuta FEES zaidi ya 15, wakala wa mizani, wakala wa barabara, wakala wa halmashauri, utitiri wa makusanyo. Sasa ni heri kumuuzia kangomba!
 
Madhila ya walimu yanawazidi wote hao wa vyama vingine.Walimu wa sasa ana heshima ndogo sana mbele ya jamii. wanachapagwa hadi fimbo na vibao na wanasiasa na hawana chakufanya.Hapo bado maslahi na makazi ni shida.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aaa wapi! Tanzania hii hakuna mtumishi mbabe mbele ya serikali ya CCM. Angalia mifano hii:
1. Ndugai spika mzima analia nimekosa mimi nimekosa sana.
2. Luteni, Komando Urio kesi ya Mbowe umeona aibu iliyompata
3. Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa ulishuhudia yaliyotokea tena yule ni Ph. D
4. Yule wa jalalani je?
Mifano iko mingi sanaaaa
Kijana mwalimu ni nani hata awe kiburi?
 
Hii ni laana ya kushiriki au kusaidia wizi wa kura. Mshahara kiduchu unanyonywa na CWT bado hujachangia mafuta ya mwenge!! Na hicho chama cha kutetea maslahi wa walimu. Niliambiwa kuna wakati wananyimwa mpaka likizo
 
Mwajiri amuache huyo mtumishi afie mbele na shida zake kama hataki kujiunga na hivyo vyama, siyo kulazimisha mtumishi lazima awe kwenye chama, akikataa akatwe Ada ya udalali inayoitwa UWAKALA!

Wakulima wanatulazimisha tuwe kwenye vyama vya msingi AMCOS, siyo tuungane tupatiwe pembejeo na utalaam wa kilimo, HAPANA, ukija kuangalia kiundani lengo kuu ni kuhakikisha taasisi za kiserikali zinatunyang'anya fedha kutokana na mauzo ya mazao, utakuta FEES zaidi ya 15, wakala wa mizani, wakala wa barabara, wakala wa halmashauri, utitiri wa makusanyo. Sasa ni heri kumuuzia kangomba!
Ni aibu kubwa uhuni unafanyika na wanaolinda uhuni huo ni viongozi wa serikali wengine wameteuliwa na mheshimiwa Rais
 
Hakuna watu wa honyo, wenye akili finyu, wanaopelekeshwa sana yaani hawa watu huwa siwaelewi kabisa. Hawajiamini, waoga utahisi wamelishwa unga wa ndele. SIKU NZI AKIACHA UJINGA ATATENGENEZA ASALI sababu NYUKI NI NZI MKUBWA ALIYEAMUA KUACHA UJINGA AKATENGENEZA ASALI
 
Kitu usichojua ni kuwa maDED na maafisa watumishi wote wanapata mgao wao kutokana na makato ya walimu.
Kuna rafiki yangu mmoja ni mwalimu mwezi wa 3 mwaka jana alijitoa CWT akajiunga na chama kingine.
Jamaa alipewa vitisho sana lakini alikomaa mwezi wa 7 mwaka jana kwenye salary slip alikuta makato ya vyama viwili yaani kile kipya alichojiunga kwa hiyari yake pamoja na makato ya CWT.
Jamaa akaamua kukomaa hivyo hivyo lakini mwisho wa siku mwezi wa 10 kakuta makato ya chama kipya alichojiunga kwa hiyari yameondolewa yamebaki ya CWT.
Aiseeee
 
Hatuingii wanatuingiza kilazima
Duh!.. kwahiyo unalazimishwa utake usitake??? Na hamna pa kusema, mtu unalazimishwaje kama kusota na masupp umesota mwenyewe halafu mtu aje akukate bila sababu
 
Niliajiriwa kama Afisa Utumisi Drj 11 (ofisi ya RAS mkoa sitaji) Mwaka 2006 ngazi ya msaara TGS D nakumbuka ilikuwa kama 270,000 kwa sasa ni Meneja Utumisi na Utawala kwenye Sirika la Umma (silitaji) ELRA 2004 na Amendments zake za 2015 ni moja wapo ya nyenzo zangu za kazi.

Embu pitia vifungu vya ELRA 2004 hapo chini ujielimishe zaidi

61.-(1) An employer shall deduct dues of a registered trade union from an employee's wages if that employee has authorised the employer to do so in the prescribed form.

(4) An employee may revoke an authorisation by giving one month's written notice to the employer and the trade union. (5) Where an employee revokes any authorization under subsection

(3), the employer shall cease to make any deductions after the expiry of the notice

Agency Shop agreements
72.-(1) An agreement that compels an employee to become a member of a trade union is not enforceable.

(2) A recognised trade union and employer may conclude a collective agreement providing for an agency shop.

(3) The requirements for a binding agency shop agreement are:
(a) the agreement applies to employees in the bargaining unit only;
(b) employees who are not members of the trade union are not compelled to become members;
(c) any agency fee deducted from the remuneration of an employee, who i s not a member, i s equivalent to, or Less than, the union dues deducted by the employer from the remuneration of a member;

(9) For the purposes of this section, ''agency shop'' means a union security arrangement in terms of which employees in a bargaining unit, who are not members of the recognised trade union, are required to pay an agency fee to the trade union.
Makato ya Agency fees matumizi yake yakoje kwenye chama?
 
Wahuni tu! Hiyo agency fee hatozwi mwl Bali kinatozwa chama ambacho mwl amejiunga nacho kischo na majority lakini wao wanapotosha. Waraka upo wa 2017 umeeleza vizuri
 
Hebu mwaga mboga mkuu, waraka naweza kuupakuwa wapi niutafute?
 
Wahuni tu! Hiyo agency fee hatozwi mwl Bali kinatozwa chama ambacho mwl amejiunga nacho kischo na majority lakini wao wanapotosha. Waraka upo wa 2017 umeeleza vizuri
WAHUNI NDIYO!
Hawa huwezi kusikia Polepole akiwaongelea!
Maana wanaelewa mtiririko mzima wa mgao, na wao utawaathiri vipi!

Atabwabwaja tu, upuuzi upuuzi WA propaganda na siyo mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom