robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo yakitokea Hakuna anayejali.
Ukweli unajionesha kwamba hii ni kuwaandaa watoto kuwa wezi na mafisadi. Tunaelewa wanavyofaidika na wizi ktk siasa na hawataki kujali kwamba hilo ni kosa. Lakini ukweli ni kwamba pole pole mapinmduzi ya kijeshi yanarudi Afrika. Ni miaka michache ijayo tutaelewa usalama wenu na wa watoto ktk siasa.
Kwa hali ya nchi ilivyo naamini hakuna anayewatakia mema wanasiasa maana hawajali kabisa na hawana aibu ya kutangaza watoto wao kuingia ktk siasa kwa kisingizio chochote. Tuko pamoja.