Vitu 4 ambavyo vimekuwa overrated Duniani

Vitu 4 ambavyo vimekuwa overrated Duniani

5 Yesu.

Hii ni moja ya concept ya kipumbavu ambayo imepewa promo!! Upuuzi mtupu.

6 Firigisi
Nyama ya kipumbavu ambayo imepewa promo
umenifanya nicheke ka chiz
 
Unajua maana ya neno 'overrated'? Nina wasiwasi hujui ndio maana hata umekosea kuliandika na hiyo mifano yako haiendani na maana ya hilo neno
 
Unasema jambo lipo overrated halafu unasema hutaki kuzungumzia ni kwa namna gani, hii ni dalili ya ugonjwa gani?
 
Ni sawa ila hiyo promo imepewa ni hatari sana. Yaani mbususu inaonekana ina thamani sana mpaka tunapigwa vizinga vya nguvu ili kuipata. Wakati ni kawaida kabisa, mbususu inapaswa ichakatwe vilivyo bila hiyana ama kipingamizi chochote.
Wee mbussu muhimu sanaaa tena sanaa
 
Ni sawa ila hiyo promo imepewa ni hatari sana. Yaani mbususu inaonekana ina thamani sana mpaka tunapigwa vizinga vya nguvu ili kuipata. Wakati ni kawaida kabisa, mbususu inapaswa ichakatwe vilivyo bila hiyana ama kipingamizi chochote.
Kwwli warembo inabidi watupe mbususu bure kabisa maana wao wenyewe wamepewa bure....sasa sielewi kwa nini wanataka mpaka tuilipie
 
Za asubuhi wanajamii,
Kwa miaka michache niliyoishi duniani nimegundua kuna vitu ambavyo watu wamevipa thamani kubwa kuliko inavyostahili. Baadhi ya hivyo vitu ni,
1. Mapenzi, jamii imetia mkazo sana kwenye hili hasa vijana. Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa uzalishaji bila sababu yoyote. Jamii nyingi ambazo hazina discipline kwenye kushughulikia suala la mapenzi zimeharibika Kwa magonjwa, umaskini nk. Lakini mapenzi yanavyopewa kipaumbele hata Kwa vijana wasiooa au kuolewa ambao hawapaswi kuyafanya utashangaa.
2. Dini. Hii sitaizungumza sana Kwa sababu ambazo mnazijua na msizozijua
3. Fedha. Watu wanakwambia pesa ni Kila kitu. Tunatoa mkazo kwenye kuzitafuta mpaka tunashindwa kuishi
4. Pombe. Huo umuhimu was pombe unaosisitizwa mpaka Uzi wake jamii forum unakuwa na wachangiaji zaidi ya laki moja haupo. Pamoja na kutokuwa na umuhimu wowote pombe ni chanzo Cha kuharibika Kwa familia nyingi Dana hapa nchini.
Tafadhali ongezea vitu vingine kwenye jamii yetu ya kitanzania ambavyo vipo over-rated unnecessarily ili tupate kujifunza na kuepuka madhara yake.
Karibuni
kila ulichotaja ni muhimu hakuna kilicho overrated, lkn kila kitu kwa kiasi, hata oksijen nyingi kupita kiasi ni mbaya kwa afya, watu hatuna kiasi
 
vitu vya vya watoto, matangazo yamewaaminisha watu kuwa watoto na wajawazito wanahitaji makorokoro mengi ambayo kiuhalisia hayana umuhimu kihivyo zaidi ya kutoboa mifuko yetu. Na sio vya watoto tu vitu vitu vingi havina umuhimu tunanunua kisa vinatangazwa kila siku
 
."Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa uzalishaji bila sababu yoyote"

then ukaja kusema pesa n overrated unatafuta pesa ad unasahau kuish sasa huo uchum utasimama vip bira kua na pesa
 
Back
Top Bottom