Vitu 4 ambavyo vimekuwa overrated Duniani

"PENGO LAKO HALITAZIBIKA"..


Hii kauli ni Overrated saaana na ni Uongo mtupu,,, Yoyote anayeishi kwa kuamini hii kauli hakika amepotea kabla hajapotea....


The truth is Everything can be replaced
Wapambe walimwaminisha magufuli bila yy hii nchi itasimama. Lakn naona kaondoka na nchi inaendelea na maisha kama kawa
 
5. Football
 
Ondoa hup upendo was wazazi na majorani, watpto. Mapenzi ya mwanamkevna mwanaume tumeyapa kipaumbele kikubwa kisicho na maana
 
Unakunywa pombe?
Kama hunywi acha kuiongelea na kuishushia heshima kiasi hicho.
Mvinyo upo hata kabla ya dini kuwepo, achana kabisa na hii kitu ndgu yangu.
 
Umeshasema vitu vinne sasa tuongeze vp?
 
@maramojatu kwa kweli Kama hujui umuhimu wa fedha kwenye ulimwengu huu, hakika una maisha mazuri
 
Pombe ndio ya kipumbavu sana....najua walevi watawaka ila sijawahi kuona mnywa pombe mwenye akili hata mmoja.
We watazame walevi wakiamka asubuhi utajiuliza walikunywa ya nini?...ukishalewa lazima upoteze direction ndio maana wanawake kwa wanaume yanawakuta mazito sana....matokeo yake pombe kesho zikiwatoka wanashangaa hivi ni mimi wamenifanyia hivi?..Foolish indeed..

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umekosea vitu viwili hapo

1.Bila mapenzi baina ya wazazi wako usingezaliwa.

2.Pesa ndo imefanikisha malezi yako mpaka hapo ulipo.
 
Mkuu umekosea vitu viwili hapo

1.Bila mapenzi baina ya wazazi wako usingezaliwa.

2.Pesa ndo imefanikisha malezi yako mpaka hapo ulipo.
Asante Nelly, nakubaliana na wewe lakini jamii yetu ina-rate hivi vitu isivyo.
 
Mkuu kwanini unaharibu bando lako kuisimanga pombe.Pombe umeikuta duniani na utaiacha

Achana na pombe mkuu fata maisha yako
 
Mkuu kwanini unaharibu bando lako kuisimanga pombe.Pombe umeikuta duniani na utaiacha

Achana na pombe mkuu fata maisha yako
Bando sio shida usijali...
Suala la mimi kuikuta pombe na kuiacha ni kweli..
Ila pombe ni baba wa maasi duniani...
Ukirudi kiafya ndio balaa...Sumu kali kabisa....umewahi kusikia harufu ya mkojo au jasho la mlevi?..ndio ujue sasa...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…