proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,479
- 1,348
Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha.
1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile.
2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana huwezi jua kesho yako.
3) Usiruhusu pombe/Madawa ya kulevya yawe ndio chanzo cha furaha yako,hii itakufanya uwe mtumwa mkubwa wa hivyo vitu na athari zake utaharibikiwa kabisa.
4) Kamwe usianze kudanganya ukiwa kwenye uhusiano au kwenye ndoa.
5) Kamwe usimchukia mtu yeyote kwa kile alichokutendea msamehe tu na maisha yaendelee.
6) Usiwe mwenye kuhukumu hivyo. Huwezi jua mtu anapigana vita vya aina gani.
7) Kamwe usianze kuwapuuza watu wanaokupenda unapofanikisha kitu maishani, utagundua umechelewa sana ulichopoteza.
8) Usiwapuuze wazazi wako ni dhambi mbaya zaidi ambayo mtu hatakiwi kuanza kuifanya.
9) Kamwe usianzishe porojo za uwongo juu ya watu, ni dhambi kubwa.
Naomba kuwasilisha.