Humu ndani watu mnavituko.dogo tamthilia zinakuharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ndani watu mnavituko.dogo tamthilia zinakuharibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]90% Ya uliyoyaandika hayatekelezeki.
thanks for your time.
No4 tumeagizwa tuishi nao kwa akili! ukiwa mkweli utaumia!4) Kamwe usianze kudanganya ukiwa kwenye uhusiano au kwenye ndoa.
5) Kamwe usimchukia mtu yeyote kwa kile alichokutendea msamehe tu na maisha yaendelee.
6) Usiwe mwenye kuhukumu hivyo. Huwezi jua mtu anapigana vita vya aina gani.
7) Kamwe usianze kuwapuuza watu wanaokupenda unapofanikisha kitu maishani, utagundua umechelewa sana ulichopoteza.
8) Usiwapuuze wazazi wako ni dhambi mbaya zaidi ambayo mtu hatakiwi kuanza kuifanya.
9) Kamwe usianzishe porojo za uwongo juu ya watu, ni dhambi kub
Funguka bana tukusaidie kuua huku!! alikufanyaje? vinginevo unastahili maumivu!Mkuu Asante sana kwa uzi wako uliojitosheleza Asante kabisa nimeusoma na screen shot. Ila namba 5 mkuu napingana na wewe. Yani kuna demu flani Tulia chana. Akifa nitafanya sherehe. Namuombea mabaya kila siku. Mwaka jana mwezi wa 7 nilipanga kumuua nami nijiue murder suicide sema aikupangwa hivyo tangu tuzaliwe. Every single second and every fakin beat of my weak heart Namuombea mabaya. JF imenisaidiaga sana na hii stress kwasababu naingiaga humu kuwachokonoa watu na kuwawini kisaikolojia basi wakinitukanaga ndio furaha yangu kwasababu hapo tunaumia pamojanasahau nayo pitia napata faraja. Afe tu huyo binti nilimuomba GA Yesu anipe faraja ya kudumu kwa kumuondoa lakini Yesu ni pendo anamuacha na kupotezea anadunda tu.
Halafu hata hujui hii!! Yesu alishuka chini mpaka akatemewa mate na maskini! na wajinga!! mpaka leo hii, wengine hawataki kumtambua/amini! lkn bado hajashuka kuwapa kichapo sasa!! weye mmakonde tu! ni nani hutaki kushuka!!1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile