Vitu ambavyo Mwanaume au Mwanamke mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya

Ngano ina shida gani ?
Kwa kukusaidia kiafya ni bora ukaepuka matumizi ya ngano maana ndiyo chanzo cha magonjwa mengi mtambuka yasiyoambukiza yanayotukabili wengi wetu hivi sasa.

Hivyo badala ya kubugia ngano nyingi kisha ukaanza kulalamika uzito uliopotiliza, kiungulia, vidonda vya tumbo, sumu kuzidi mwilini n.k bora ujielekeze kula vifuatavyo;

1. Mayai ni mazuri kwa afya ya ubongo wako.

2. Maji ni mazuri kwa ajili ya afya ya figo zako.

3. Kabeji ni nzuri kwa afya ya Maini yako.

4. Matango ni mazuri kwa afya ya Ngozi yako.

5. Machungwa ni mazuri kwa afya ya utumbo mpana.

6. Karoti ni nzuri kwa afya ya Macho yako.

7. Tangawizi ni nzuri kwa afya ya mapafu yako.

8. Parachichi ni zuri kwa afya ya Moyo wako.

9. Nyama ni muhimu kwa maendeleo ya seli, enzymes na homoni mwilini.

10. Pilipili nyekundu ni nzuri kwa afya ya mapafu.

11. Maharage ya kijani ni mazuri kwa afya ya mifupa.

12. Mazoezi ni mazuri kwa afya ya mwili mzima.

13. Kusoma ni jambo zuri la kiafya kwa ubongo wako.
 

Maswali yako mengi hayana mantiki ila ntakujibu;

1. Umesema kwa umri wako ulionao leo hii mtu akisema neno "UVUTAJI" katika masuala yahusuyo afya ya mwili uelewi anamaanisha nini hili pia unataka nikujibu[emoji848]!!?

2. Ngono zembe na zisizo na malengo au maana, ni zile ngono holela zisizojali unafanya ngono kwa malengo yapi ilimradi mihemko, sifa za kijinga na hujali kuhusu matokeo, na inapotokea matatizo unaanza majuto.

Kuhusu ngono bila kinga ni aina mojawapo ya ngono zembe lakini hapa mtu anaweza kuwa na utashi na dhamira ila akaacha kutumia kinga kwa sababu mbalimbali ikiwemo za kisaikolojia, influence au kuzidiwa maarifa na hisia zake, nimeiweka isimame kama point kwa ajili ya msisitizo.

3. Unaulizia kazi ya sidiria..!? Kwa jinsi unavyojieleza wewe ni mwanaume (samahani kama nitakuwa nimekosea)..kiufupi uwezi jua kiundani mambo yote ya jinsia isiyo yako ndiyo maana unauliza swali jepesi la namna hii. Nikujibu tu kuwa walengwa ambao ni wanawake endapo ningekuwa nimekosea wangekuwa wa kwanza kukosoa na siyo wewe.

4. Swali lako la mwisho pia halina maana kabisa ya kulijibu yaani mtu ana mwenza wake na asiwe anamwona au kuchat naye WhatsApp? Vilevile haikatazwi hata kubofya au kutumia simu ya mwenzi wako "kwa ruhusa yake" kuchat au kuwasiliana.

kuhusu kugusa simu kunakomaanishwa hapa kwa wenza ni ile tabia ya kumfuatilia mwenzio kisirisiri kwa kila anachokifanya kwenye simu yake especially mawasiliano yake na watu wengine.
 
Haya Ndo Madhara Ya Kuvutia Bangi Chooni Bangi Inachanganyikana Na Kinyesi Ni Lazima Utubu Usijifiche.Ungesema Jingine Lakn Sio La Kuacha Kula Vitu Vya Ngano Na Sukari,Kwa Hyo Watu Tusile Chapati Kwa Chai
Katika miaka ya 90s huko vyakula kama vile mikate endapo ingeachwa kwa walahu siku moja pasipo kutumika kesho yake ungeikuta tiyari ime-grow moulds (imeharibika).

Lakini mikate ya ki-leo inadumu mno pasipo kuharibika au kutengeneza ule utando mweusi haraka na hii yote ni kwa sababu ya Calcium propionate.

Calcium propionate huzuia utando ule mweusi (moulds) kukua na hivyo hupelekea tatizo la gesi tumboni (gastritis).

Watu wenye addiction na ulaji wa mikate mara nyingi ni wenye ku-complain kuhusiana na matatizo ya kiungulia lakini uishia kutatua tatizo lao kirahisi kila mara na anti-acids wakifikiria wanakomesha tatizo.

Ukiambiwa unywe chai (yenye madhara kidogo au isiyo kabisa na nikotini na sukari ya viwandani) pamoja na mihogo ya kuchemsha, viazi vitamu, magimbi, maboga, mahindi ya kuchemsha, karanga za kuchemsha, makande, n.k unaona ni u-primitive na pia tunakuonea wivu unavyofaidi maisha.

Na kwa sababu maisha ni yako na ikiwa kigezo ni sisi sote tutakufa basi endelea na mwendo wa kujipiga plastering tumboni mwako kwa kula hiyo GYPSUM ndani ya hiyo mikate yako, na usije sema ukuambiwa.

 
Asante Mungu bangi sijaona [emoji848][emoji848]au sijasoma vzr wakuu
[emoji23] Naomba nitoe angalizo: Tafadhali angalia usivute sana bangi na kisha ubugie mipombe. Bangi huzuia mtu kutapika pindi kilevi kinapomzidia mwilini. Badala yake atazidi kulewa mpaka pale sumu ya pombe itakapokuwa hatari na isiyomithilika tena mwilini. Kifuatacho utakufa kwa haraka kama kuku mwenye mdondo.[emoji124][emoji124][emoji124]
 
NB: situmii kilevi chochote, ila heshimu bangi nasema heshimu bangi narudia heshimu bangi nasisitiza heshimu bangi nakazia heshimu bangi
 
Eti kuwa na mtoto mmoja kama kifaru[emoji1787][emoji1787]
[emoji23] Sasa kwanini ubanie watoto wengine kuliona jua ikiwa wewe mwenyewe kwenu mlizaliwa kumi na mbili, na bado sehemu kubwa ya central na west Tanga-NYIKA iko tupu ni vichaka na mibuyu na hakuna watu wa kuishi huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
38. Kuwa mwanachama wa CCM
 
Kuna watu maisha mnsaafanya magumu sana
Ukiyafanya sasa kuwa maraisi ikifika 60s. Karibu tukuhudumie, kwa maana mavidonge na sindano tunazo za kushesha ni wewe tu na kile ulichotuchumia ujanani mwako, njoo tubadilishane, utupatie pesa siye tukulishe misumu.
 
Undava King ehhh,vipi kuhusu utelezi wa wale madada wa kusaidia kazi home? Sema tu kina maza house siku hizi wanakuletea weusi tiiii kama wa Sudani aise. Hawachagui siku hizi. Vipi! Ni halali tuendelee?
Ogopa sana kuonekana "Mume wa Ovyo" mbele ya mkeo na jamii[emoji24] na kisha wanawake kukunyooshea vidole upitapo mitaani.."ndiyo huyo yule mbaba aliyempatia mimba mdada wake wa kazi[emoji23] afu hata alijiheshimu na umri huo jamani!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heeh watoto sita na huu uchumi,

Nyanya za.mia tano unapewa nyanya NNE yaani ile 1,2,3,4 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
We unazungumzia kipato, wakati wapo watu wanamiliki matrilioni na wana vitoto viwili kama njiwa, kiufupi kuzaa ni uamuzi wa mtu binafsi kuliko kigezo cha uwezo kwa maana hata hao masikini wapo wenye watoto lukuki na haijalishi anawalea vipi wanae mwisho wa siku mwenye nacho anacho tu.

We zaa mwana wane yamemshinda Rihanna na Vanessa pamoja na ulimbwende wao wameamua kuachia vitu kwa mpigo itakuwa wewe, watoto ni zawadi ya pekee ya kukufariji uzeeni kamwe usiichezee nafasi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…