maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Jamani nahisi mimi nimeshindikana!
Kuna vitu ambavyo wengine huwa wanateseka kuvipata lakini mimi wala huwa sina muda navyo japo naweza kuvinunua kirahisi, mfano:
1. Kitanda... Mimi huwa nikiweka godoro chini na shuka kwenye chumba safi naweza kukaa miaka yoyote bila kununua kitanda
2. Simu, wengine wanabadili simu kila mwaka simu ninayotumia nimenumia miaka 3.5 au zaidi iliyopita
3. Aina za unyoaji wa nywele... Nikipunguza saizi moja imetoka. Hamna scrub sijui nini! Etc
Hivi na wewe unakumbwa na tatizo kama langu?