Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Chakula na mtoto vina fananaUnamwamini vipi bodaboda akuletee chakula mpka nyumbani ??
Kwani hao madereva wa school bus, waalimu , wanafunzi wenzake hawawez kukuharibia mwanao ??
Mtajua wenyewe mm kiswahili kisha nishindaHivi ni kumkalilisha au kumkaririsha?
Hii siwez nunulia mtotoKitu kingine ni kuwafundisha uongoView attachment 3447085
Nimeuliza tu swaliMtajua wenyewe mm kiswahili kisha nishinda
Nimekujibu pia πNimeuliza tu swali
Bado sijapata jibu la swali zaidi ya wewe kujitetea huenda pia upo sahihi π€Nimekujibu pia π
Mbona unajibu kama ugomvi??Mtajua wenyewe mm kiswahili kisha nishinda
πππHivi ni kumkalilisha au kumkaririsha?