Vitu gan umevipiga “BAN”

Kunywa soda nimempiga BAN ni miaka 5 sasa sinywi ya Aina yeyote ile

wewe tutawezana mimi nimepiga BAN 2021 nilianza kama masihara .Nilianza na Pepsi

Nilikua nakunywa hata 3kwa siku…Nikajisemea Nitakuja kuacha Pepsi watu wakawa hawaniamini nikaacha had nikasahau….Kilichofata nikapiga BAN soda zote
 
hongera mkuu, kwangu madem nimeweka kando,
Tatizo lipo kwenye Betting nashindwa kuacha kabsa

[emoji23][emoji23][emoji3]Namm bado kuna vitu vinanishinda kuviacha ila naanza navile ninavoweza…..

We endelea kupiga BAN kwanza unavoviweza Hivo itakupa nguvu siku moja utapiga BET ban na hutaamini
 
Bora mkuu kama una maslahi nayo kama vile biashara
Ila kupoteza mda na kucheka kama mwehu hapana kwa kweli
Tiktok haikunifundisha kitu kabisa na sio mfaidika kama wengine

Ni kweli saizi plan nikupiga BAN
istagram[emoji706]
Facebook[emoji706]

Saizi naanza twitter,jf na nimejiunga Quora naona atleast kidogo kuna vitu na gain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…