Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Situmii mkuu nilkua natoa angalizo kwa jamii hususani vijana
Chromium ni metal or non metal?mkuu kifupi we n teja mstaafu
🤣🤣🤣🤣Hawara hatongozwi
Ukikutwa tu kinaloa🤣🤣🤣🤣
Thubutuuu, nimepiga ban kubwa....huwezi amini toka mwaka uanze sijadanga🤣🤣🤣Ukikutwa tu kinaloa
Hujakutana na yule uliyekua unam feelThubutuuu, nimepiga ban kubwa....huwezi amini toka mwaka uanze sijadanga🤣🤣🤣
Thubutuuu, nimepiga ban kubwa....huwezi amini toka mwaka uanze sijadanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi sijui nilingia kwenye setting gani kwenye simu yangu ..Yani huu ni karibu mwaka Sasa siwezi ku access explicit content kupitia simu yangu na kiukweli sijutii kabisa.
Pia kwenye magrup uchwara ya whatsap yooote nilidelete na kuanza kutumia namba mpya...[emoji18]
Nimejikuta kwenye kusoma vitabu vizuri online na pia hardcopy...kiufupi maamuzi sahihi sio ya kujutia
Hapo xxx.comVitu Nilivovipiga ban 2023
1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman khaaahMadanga jamani[emoji1787][emoji1787].... nimeamua kutulia na Baba K wangu....mahawara na wakome[emoji1787]
Mademu waombaji hela kama hawana akili, kumpa mtu lift kwenye gari halafu analazimisha kusikiliza nyimbo za dini au bongo fleva.Ili usinge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!
Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge
Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!
Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban
Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
Ndugu nami nilikuwa kama ww niliichukia sana tiktok na nilikaa mda sina hiyo app siku moja nikajatibu tena kuingia weee!!!Bora mkuu kama una maslahi nayo kama vile biashara
Ila kupoteza mda na kucheka kama mwehu hapana kwa kweli
Tiktok haikunifundisha kitu kabisa na sio mfaidika kama wengine