Vitu gan umevipiga “BAN”

Vitu gan umevipiga “BAN”

Mimi sijui nilingia kwenye setting gani kwenye simu yangu ..Yani huu ni karibu mwaka Sasa siwezi ku access explicit content kupitia simu yangu na kiukweli sijutii kabisa.
Pia kwenye magrup uchwara ya whatsap yooote nilidelete na kuanza kutumia namba mpya...[emoji18]
Nimejikuta kwenye kusoma vitabu vizuri online na pia hardcopy...kiufupi maamuzi sahihi sio ya kujutia
 
Mimi sijui nilingia kwenye setting gani kwenye simu yangu ..Yani huu ni karibu mwaka Sasa siwezi ku access explicit content kupitia simu yangu na kiukweli sijutii kabisa.
Pia kwenye magrup uchwara ya whatsap yooote nilidelete na kuanza kutumia namba mpya...[emoji18]
Nimejikuta kwenye kusoma vitabu vizuri online na pia hardcopy...kiufupi maamuzi sahihi sio ya kujutia

Hongera kwa kupiga BAN
 
Vitu Nilivovipiga ban 2023

1.Marafiki wanafiki[emoji706]
2.Rafiki asiye na faida [emoji706]
3.Xxx.com[emoji706]
4.Instagram [emoji706]
5. Pombe aina ya Bia[emoji706]
Hapo xxx.com
Wee ni muongo mkuu

Ungeacha usingeandika..hiyo kitu kuchek mara moja moja sio inshu mzee wangu.
 
Ili usinge mbele au uishi kwa raha lazima kuna vitu uvi cut (ondoa),Block, au uvipige ban si kwa ubaya ila kwa afya ya akili yako na amani ya moyo!

Vitu hivi vinaweza kuwa vinakutia stress, au vinafanya ujisikie mnyonge, vinakuumiza, au vinakudharirisha au tu vinakurudisha nyuma au kukuzuia usisonge

Mara nyingi inaweza kua ni watu, maeneo, chakula, tabia, au chochote au ndugu!!

Sasa mwaka 2022 nilianza kupiga “BAN “ baadhi ya vitu. tangu hapo nimekua n mtu nisiyepata msongo wa mawazo na amani sana.
But bado naendelea kupiga Ban


Wewe ni Vitu gan mwaka huu 2023 umevipiga BAN?
Mademu waombaji hela kama hawana akili, kumpa mtu lift kwenye gari halafu analazimisha kusikiliza nyimbo za dini au bongo fleva.
 
Ila watu noma yaani vyakwako ulivopiha ban hujatuambia sie ndo unataka tukuambie vyetu au umetuonaje yaani kwamba hatujielewi sana ama.. Anza kitueleza kwanza wewe mleta uzi kisha nasie ndo tutiririke.
 
Bora mkuu kama una maslahi nayo kama vile biashara
Ila kupoteza mda na kucheka kama mwehu hapana kwa kweli
Tiktok haikunifundisha kitu kabisa na sio mfaidika kama wengine
Ndugu nami nilikuwa kama ww niliichukia sana tiktok na nilikaa mda sina hiyo app siku moja nikajatibu tena kuingia weee!!!

Niliyoyakuta huko ni mazuri huwezi kuamini yaani nilijuta kwann sikuwa nayo mda tiktok inategemea umewafollow watu gani lakini nakuhakikishia ukifollow watu wazur na wanaokupa vitu inavyotaka hakika hutaamini utakuja hapa kinishukuru download leo kisha njoo uniambie.

Watu wengi sasaivi wamewekeza nguvu zao nyingi huko yaani wanapost vitu vya maana huko kuliko mdandao wowote insta now watu wengi wameikimbia.
 
Mm ni hiz energy ndo zmenishika, hasa Mo energy na Jembe. Pombe sijawai kunywa, sigara wala bangi sijawai vuta soda n mara mojamoja sana inaweza pita ata mwaka sijanywa kabisa ila hzi energy aisee sio poa,
kufanya kazi ngumu ndo kumechangia sana, ilikua inafika mda nachoka ila nikipiga tu energy nakua kama nmezaliwa upya(wanaita kujidunga) bas mpaka leo nikijihisi uchovu tu kidogo energy. ndo nazilia timing hapa niziache kwenye mataa(nizban)

Kingine ni matumiz ya simu niko addicted sana na simu yangu muda wote ipo mkononi iwe ku peruzi/kuchat/kucheza game, yaan adi macho yanauma kabisa inabid nayo nipige ban ata kama kwa kurud kwenye kiswaswadu(ila hii naona itachukua mda[emoji16])
 
Back
Top Bottom