Vitu gan umevipiga “BAN”


Inaonekana mtu wa kutukana sana chalii angu [emoji23]
 
Ukiwa na nishati hasi utakua na mvi hata kama hujafikia umri wa kuwa na mvi za uzee
 
*Bongo fleva nilidelete zote kwenye simu sisikilizi Bongo fleva Wala nyumbani hazipigwi Bongo fleva.
*Vitu vinavyonipa negative energy mfano MTU anakuongelesha Vibaya au amekuudhi au anakuchokoza nimeamua kutumia silaha mbili kunyamaza Na kupuuzia
*Nimekata mawasiliano Na kudelete namba za wote waliokua wananipa negative energy
*Nimeachana Na Facebook Na Instagram tikitok naangalia vitu vinavyonijenga
*Nimeamua Kua Karibu Na watu ambao wako smart kichwani Na kuwaepuka watu ambao wanafikiri ujinga
 
Nakubaliana na wewe mkuu...

ukipiga ban hizo anasa utapata amani ya moyo nzuri Sana na utayafurahia maisha hata kama bado unajitafuta.
 
Vitu vyote nje ya personal development, entrepreneurship na finance hususani politics, drama na dini vimekula Ban. Hadi Uzi wa INSIDER MAN nineupiga ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…