Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Shukran sana mkuu ila kama kuna hela au biashara nishtue mengine niko field kila siku napambana na maishaNdugu nami nilikuwa kama ww niliichukia sana tiktok na nilikaa mda sina hiyo app siku moja nikajatibu tena kuingia weee!!!
Niliyoyakuta huko ni mazuri huwezi kuamini yaani nilijuta kwann sikuwa nayo mda tiktok inategemea umewafollow watu gani lakini nakuhakikishia ukifollow watu wazur na wanaokupa vitu inavyotaka hakika hutaamini utakuja hapa kinishukuru download leo kisha njoo uniambie.
Watu wengi sasaivi wamewekeza nguvu zao nyingi huko yaani wanapost vitu vya maana huko kuliko mdandao wowote insta now watu wengi wameikimbia.
Kama dili linaloniingizia hela nikipata nafanya ila mitandao kwa kweli nimewaachia vijana
Alibaba natumia kwa kununua bidhaa ila fb wanasema kuna biashara pia ila wengi wamelizwa
Socializing natoka sana na safari za wiki au wiki mbili nasafiri sana na hizo zinanitosha sana kwani naonana na watu live badala ya emoji za kucheka