Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

Aliyekuwa amenuna amehamia kwenye chumba kingine yaani tulikuwa tunalala pamoja lkn kahamia kwenye chumba kingine… maana yke nini?[emoji3064]
 
Aliyekuwa amenuna amehamia kwenye chumba kingine yaani tulikuwa tunalala pamoja lkn kahamia kwenye chumba kingine… maana yke nini?[emoji3064]
Yani usimuongeleshe mkuu wala kumuulizaa...!! Anapima kina cha bahari kwa kuvuka na miguu kama una mchepuko wako endelea kujiliaa vyakooo.. USIMUULIZE KITUUU
 
Kununiwa ni factor ndogo na sio ishu, ukilinganisha na vitimbi vya wanawake wengine.
Bora mnunaji kuliko tabia zingine, japo mnunaji nae huwezi jua anakuwazia nini usijeshangaa unamka korodani hazipo
 
Aliyekuwa amenuna amehamia kwenye chumba kingine yaani tulikuwa tunalala pamoja lkn kahamia kwenye chumba kingine… maana yke nini?[emoji3064]
Ila na nyie jamani mna mauzi aisee! af kwa kujitia hamjui makosa yenu, unakuta mtu kakurahisha af anajitoa ufaham, unaamua tu uhame chumba tu maana hata anavopumua usiku unaona kero usije mfunika na mto bure [emoji57]
 
Duuu wanawake sijui tunakwama wapi,,, kuna jamaa nae alikuwa anasimulia kuwa mkewe alimnunia week nzima kisa tu mwanamke alivaa nguo mpya na jamaa hakumsifia kuwa kapendeza mbaya zaidi jamaa hakujua kosa lake ni kutotambua kuwa mkewe kavaa nguo mpya.

Mwanamke anaweza kununa kwa sababu ya kitu kidogo sana na asiweze kumwambia mwenza wake ni nini tatizo , na wengi hudhani kununa ni suluhisho kumbe wanaume wanachukulia powa tu
Hahaha
 
Back
Top Bottom