Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mwanamke wa hivyo hata kwenye kufanya tendo la ndoa itakuwa hata hakufurahii sana Yani wewe Mwanaume utakuwa unatimiza. Wajibu wako tu Kwa kimparamia na kumaliza basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Economic climate or weather kwenye familiaJamani nataka niulize ni week sasa Mke wangu kanuna na sina kitu chochote nimemfanya,
Hivi vitu gani vinasababisha wanawake kununa kwani na mimi nimebaki kimya tu sasa sielewi huku kununa kwa mwenzangu kutaisha lini[emoji854]
View attachment 2254298
Picha kutoka maktaba
Sahihi kaka😂😂mimi naona sasa nimeunga behewa moja na mkuu Liverpool VPN maake sio kwa mwendo huuKusema kweli wale ma advocate wa kutokuoa kwasasa wanapata credit sana. Mikasa ya ndoa na mahusiano imekuwa mingi sana mpaka inakatisha tamaa kabisa kuoa au hata kuwa na mahusiano yenye malengo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenichekesha sana hapo kwenye kukaza mifuniko ya chupa na vingine.Pole sana. Hyo ni kawaida yao. Utazoea.
Njia yangu ni moja, kwanza na mimi sihangaiki nae, af baada ya hapo nakza vifuniko vyote ndani ya nyumba kisirisiri. Sijui chupa ya chai, maji, madumu n.k, ilimradi ni mfuniko, kaza!
Utaona tu anaanza kukusemesha mwenyewe uje umsaidie.
Af pia smtyms n shida wewe kuwepo most times around. Usikae nae sana ili akumiss au apate wenge kua upo kwa mpango wa kando. Akihoji mchane kua hupendi hizi mavitu za kununa kama ana shida awe anasema la sivo iko siku atanuna na ana shida na utampotezea.
Mwisho wa siku haya yote ni ubatili kama kilichomfanya anune ni from mchepuko wake. Hakuna utachofanya. Kaa kwa step!
Pole sana. Hyo ni kawaida yao. Utazoea.
Njia yangu ni moja, kwanza na mimi sihangaiki nae, af baada ya hapo nakza vifuniko vyote ndani ya nyumba kisirisiri. Sijui chupa ya chai, maji, madumu n.k, ilimradi ni mfuniko, kaza!
Utaona tu anaanza kukusemesha mwenyewe uje umsaidie.
Af pia smtyms n shida wewe kuwepo most times around. Usikae nae sana ili akumiss au apate wenge kua upo kwa mpango wa kando. Akihoji mchane kua hupendi hizi mavitu za kununa kama ana shida awe anasema la sivo iko siku atanuna na ana shida na utampotezea.
Mwisho wa siku haya yote ni ubatili kama kilichomfanya anune ni from mchepuko wake. Hakuna utachofanya. Kaa kwa step!
...Kwa nini anaku avoid mkuu??? au kasikia una mchepuko???lol...unahitaji kuongea nae openly, umuulize nini tatizo..?, kuwa direct and specific...Labda ukienda kazini, mwambie leo nikirudi nina mazungumzo na wewe..au mwambie tutoke nina mazungumzo na wewe, tafuta sehemu nzuri isiyo na kelele..ambayo unaona mnaweza mkaongea na kureflect kwenye muelekeo wa uhusiano wenu.....kisha mmuulize akuambie nini tatizo....mwambie siku hizi mwenendo wako siuelewi, kila nikirudi huna furaha, umenuna nini tatizo mke wangu, usionyeshe kukasirika wala kutumia lugha ya kumu accuse...lazima atafunguka kinachomfanya anune...lol
I guess tatizo lenu hamna communication, huyu kanuna, huyu hajui hafanyaje kuhusu kununa huko kwa mkewe, hivyo anauchuna na yeye, things are becoming worse everyday...
Areas ambazo unazoweza kuexplore/investigate na kuimprove;
1. Mawasiliano/communication
2.Investigate kama ana mimba, labda utakua baba soon...[emoji3]
3.sex
4.Possibility kuna mtu mwingine anavizia boma lako
5. Attention, msifie kwa mambo madogo madogo, chakula kizuri,Kapendeza, mrembo...
6. Kama ulimkosea sehemu yoyote hata kama ni jambo dogo, muombe msamaha
If all these doesnt work, then sijui ufanyeje...lol
Mpatie pilipili kwenye mdomo
Ahahaaaa!!! Haya na wa Kigoma tufanyeje mkuuInategemea huyo anayenuna ni wa level gani. Kama ni matawi ya juu inabidi tu umbembeleze, kumsifia na mabusu kem kem.
Kama ni wa huku Mbagala kichemchem, nunua mchele wa Kyela kilo tatu, nyama iliyonona huku umeweka elfu tano mezani.
Ndugu kwanza utapelekewa maji bafuni ili uondoe kiwingu wakati anakatakata nyama huku amevaa khanga moja iliyorojoka na mdomoni anaimba taarab.
Kama ni wa Kimara mpigie simu bodaboda wako huku ukimuambie apitie kilo tatu za kitimoto hapo kwa Masawe kwani ulishazilipia asubuhi. Ghafla utaona manka anaanza kutabasamu na kuvaa nguo fupi fupi zinazoonyesha magoti.
Kabisa. Na hii inatokana na malezi na makuzi ya watoto wakike. Hawakuzwi kucommunicate feelings zao so wanashindwa namna nzuri ya kujiexpress.Duuu wanawake sijui tunakwama wapi,,, kuna jamaa nae alikuwa anasimulia kuwa mkewe alimnunia week nzima kisa tu mwanamke alivaa nguo mpya na jamaa hakumsifia kuwa kapendeza mbaya zaidi jamaa hakujua kosa lake ni kutotambua kuwa mkewe kavaa nguo mpya.
Mwanamke anaweza kununa kwa sababu ya kitu kidogo sana na asiweze kumwambia mwenza wake ni nini tatizo , na wengi hudhani kununa ni suluhisho kumbe wanaume wanachukulia powa tu
Dawa ni kuwapuuzaWe bwana sisi tunaweza kununa Tu hata kama kuna siku tuliona umeangalia taarifa ya habar sana na aliyekuwa anatangaza ni mwanamke.
TUNANUNA!
Sasa hapo sio shida, shida ni pale usipouliza kwanini tumenuna na hatukwambii na ukajifanya kuendelea na issue zako.
Na kesho yake ukaenda kazini!
na ukarudi ukala ukaomba na mzigo.
Kosa linazidi hapo.
Siku ukienda kwenye mpira ukaja unafurahia Liverpool kukosa ubingwa sisi tuazidi kununa kosa linaongezeka!
Hao ndo sisi.