sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
kama mimi kuna vitu siwezi kabisaa huwa mara nyingi nahitaji msaada na vikifanyika na mwanamke huwa najisikia amani toka moyoni na mara nyingi huwa inaniwia vigumu kuvifanya mimi mwenyewe kama mawanaume
mfano:
1.ku arrange chumba
2.kuosha vyombo
3.kukunja nguo
4.kudeki
5.ku sex
6.ongeza yako kama unayo
mfano:
1.ku arrange chumba
2.kuosha vyombo
3.kukunja nguo
4.kudeki
5.ku sex
6.ongeza yako kama unayo