Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga asenaomba ushaid wa nani nilimdhulumu shiling ngap na ni lin au ufute kauli
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
si kweli wewe ni muongo mimi nipo karibu na najal wagonjwa wangu kuliko mtu yoyote yule na ukilipia formula ya kwanza ya pili unapata bure siwez kumnyima mtu haki yake kwanza hukudhulumiwa la pili naomba utaje hapa hiyo formula ilikua inasemaje taja content zake zote ili tujue kweli ulipata au unatunga maana sijawai kumpa mtu formula isimsaidoe hata kama tatizo kubwa itamuweka sehem ya unafuu labda kama inawai kumaliza na kulala bas atachelewa kidogo na itakia hailali na kama ataendelea nayo dakika zitakua zinaongeZeka hivyo itakua ni faraja kwakeKi ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
kumbe hukudhulumiwa pesa formula ulipewa baada ya kulipia si ndio sasa mbona unadai ulidhulumiwa haya ebu taja content za formula hapa tujue ukweli wa unachosemaKi ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
google mkuu andioa food for sperm countTatzo kuna wengine wameweka/wataweka masihara kiasi unashindwa kujua kama ni sahihi au si sahihi
tatizo la wateja wangu wqnaharaka sana mtu kajichua miaka kumi katumia madawa ya kizungu ya kila aina lakin anataka apone kwa siku mbili au tatu mtu wa hivyo lazima awe mbumilivu kutoa sumu za viagra zilizoathir mfumo wa homoni ili aruhusu mwili kufanya kazi kwa nguvi zake za asili ambazo zilizuiliwa na viagra lakin akitumia siku mbili anataka kupona bila kuangalia background yake mwingine unamshaur epuka kemikal yoyote lakin yeye bado anabugia kama kawaida na anategemea mabadilikoKi ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
Kitu cha mulamuShemeji yangu ww, nimechumbia huko kwenu
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
nasubir uandike hapa hiyo formula uliyodai haikusaidia maana formula yangu hua haidanganyi mr lazima ionyeshe njiaKi ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
Tena uji wa udagaKunywa uji mwingi
Bakuli 3 kila siku
Kwanini hiyo formula usiitoe hapa km wadau wengine wanavyofanya ili kusaidia wengine
Haya Dr nimekuelewa
punda anakula majan ya mazaraa yalikaribu na makaz ua simba serenget national parkKwa msaada zaidi fuatilia anachokula Pundamilia maana ndio mnyama mwenye manii nyingi zaidi ukiringanisha na wanyama woooote wa nchi kavu,