Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

naomba ushaid wa nani nilimdhulumu shiling ngap na ni lin au ufute kauli
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
 
Tatzo kuna wengine wameweka/wataweka masihara kiasi unashindwa kujua kama ni sahihi au si sahihi
 
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
si kweli wewe ni muongo mimi nipo karibu na najal wagonjwa wangu kuliko mtu yoyote yule na ukilipia formula ya kwanza ya pili unapata bure siwez kumnyima mtu haki yake kwanza hukudhulumiwa la pili naomba utaje hapa hiyo formula ilikua inasemaje taja content zake zote ili tujue kweli ulipata au unatunga maana sijawai kumpa mtu formula isimsaidoe hata kama tatizo kubwa itamuweka sehem ya unafuu labda kama inawai kumaliza na kulala bas atachelewa kidogo na itakia hailali na kama ataendelea nayo dakika zitakua zinaongeZeka hivyo itakua ni faraja kwake

naomba utaje vitu vilivyopo kwenye hiyo fotmula unayo dai mimi nilikupa wewe
 
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
kumbe hukudhulumiwa pesa formula ulipewa baada ya kulipia si ndio sasa mbona unadai ulidhulumiwa haya ebu taja content za formula hapa tujue ukweli wa unachosema
 
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
tatizo la wateja wangu wqnaharaka sana mtu kajichua miaka kumi katumia madawa ya kizungu ya kila aina lakin anataka apone kwa siku mbili au tatu mtu wa hivyo lazima awe mbumilivu kutoa sumu za viagra zilizoathir mfumo wa homoni ili aruhusu mwili kufanya kazi kwa nguvi zake za asili ambazo zilizuiliwa na viagra lakin akitumia siku mbili anataka kupona bila kuangalia background yake mwingine unamshaur epuka kemikal yoyote lakin yeye bado anabugia kama kawaida na anategemea mabadiliko
 
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
2017-01-09_07.40.53.jpg
2017-01-09_07.39.51.jpg
2017-01-09_07.38.40.jpg
ukaribu wangu na wateja wangu ni mkubwa kuliko ukaribu wangu na mke wangu umemuona huyu tumehangaika nae kama mwez mpaka amefanikiwa ila hata yeye alijua siku tatu kutokana na ukubwa wa tatizo ikaenda mwez au week tatu sasa unaposema eti sikukupa formula ya pili nina mashaka naomba uweke formula niliyokupa hapa jukwani sasa hivi nimekupa kibal nijue kweli nilikuhudumia au muongo maana ni nina data base ndio maana natumia whats app kutoa huduma taarifa haxipotei
 
naomba utume sms kwenye whats app yangu 0712505049 ili nikuone nikague maongez yetu na nijue ni lini nilikupa yiba tatizo lilikuaje maana hamna kitu kama hicho cha kukunyima gformula ya pili ambayo ni haki yako
 
Ki ukweli mimi nilitumia formula yako na haikunisaidia hata chembe, nikakucheki ukaniambia utanibadilishia formula nikawa nakukumbusha kila siku lakini hujali nikajua hii ni changa la macho tu nikavunga ase
nasubir uandike hapa hiyo formula uliyodai haikusaidia maana formula yangu hua haidanganyi mr lazima ionyeshe njia
 
Kwanini hiyo formula usiitoe hapa km wadau wengine wanavyofanya ili kusaidia wengine
Screenshot_2017-01-09-16-40-48.png

nashindwa kukuelewa unasema formula ulitumiwa na mwanzo ulikua unataka upatiwe formula hapa iwe msaada kwako nashindwa kukuelewa ulitaka itumwe hadharan baadae unakuja kusema ulishatumia mbona hueleweki
 
Kwa msaada zaidi fuatilia anachokula Pundamilia maana ndio mnyama mwenye manii nyingi zaidi ukiringanisha na wanyama woooote wa nchi kavu,
 
Kwa msaada zaidi fuatilia anachokula Pundamilia maana ndio mnyama mwenye manii nyingi zaidi ukiringanisha na wanyama woooote wa nchi kavu,
punda anakula majan ya mazaraa yalikaribu na makaz ua simba serenget national park
 
Juice ya tende

Sperms zinakuwa nyingi sana
 
Wakuu wale wanaoibiwaga kizembe ndani Kuna tapeli kuweni makini
 
Hakuna dokta Kuna tapeli vijana Msiwe wajinga mkaliwa
 
Back
Top Bottom