Vitu gani kwa wanaume uongeza wingi wa manii

Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe
 
Wakuu wale wanaoibiwaga kizembe ndani Kuna tapeli kuweni makini
ni vizur ukatoa ushaid ili uokoe watu juu ya huo utapeli ueleze njia zinazotumika kufanya huo utapeli ni busara utaokoa watu la sivyo utakua unajaza watu hofu kwa kutokujielewa unatakiwa ueleze kisomi kama mtu asie na matatizo ya mtindio wa ubongo
 
Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe
Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe


huku ninazo nyingi tembelea ujifunze

ebu elezea maana mwwnzako kakimbia jf kuna watu wa ajabu sana yaan nimejitoa kusaidia watu alafu wanakuja wau ukucrushvweg wao ni vitoto vidogo visivyo na akiili sema tu tunatumia id fake

fanya hivi ili tuelewe
nani alitapeliwa
lini
shi ngap
katika mazingira gan
 
tatizo waoga sana hamtaki kuongea kwa uwaz matatizo yenu njoo hapa tujadili waz madai yako njoo tujadili kwa hoja katika open market msiogope sasa unatoa shutuma alafu unapotea nashindwa kuelewa lengo ni kujenga au kubomoa
 
Amekuchafua eneo gani huyu??Aisee pole sana[emoji23] [emoji23]
 
Amekuchafua eneo gani huyu??Aisee pole sana[emoji23] [emoji23]
anadai nilimtapeli nikamuuliza nimekutapeli nini hataki kusema baada akadai nimempa formula haijamsadia nikamuuliza hiyo formula nilioyokupa ilikua inasemaje hataki kusema baadae akadai nihgawe burw formula watu wanufaike nikamwambia wewe si nishakutumia igawe bure hataki kakaa kimya simuelewi kapaka tope jeusi kwenye jina langu huyu
 
Achana nae huyu kilaza[emoji16][emoji16]
 
Sijakimbia anko ila nina mambo mengi ya kufanya so nakosa mda wa kuanza kujibizana na wewe, nawatahadharisha vijana tu wasiingie kichwa kichwa eti wapate formula kwa sh elfu ishirini usawa wenyewe mgumu huu ohooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…