ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni vizur ukatoa ushaid ili uokoe watu juu ya huo utapeli ueleze njia zinazotumika kufanya huo utapeli ni busara utaokoa watu la sivyo utakua unajaza watu hofu kwa kutokujielewa unatakiwa ueleze kisomi kama mtu asie na matatizo ya mtindio wa ubongoWakuu wale wanaoibiwaga kizembe ndani Kuna tapeli kuweni makini
Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe
Kwa hiyo hizo conversations ulizojitumua mwenyewe ndio uje nazo hapa kuibia wazembe
Amekuchafua eneo gani huyu??Aisee pole sana[emoji23] [emoji23]account yangu ilifungiwa baada ya kufungua uzi ambao mod waliona kama ni tangazo la biashara unasrma mimi ni tapeli sawa tunanye jambo moja niambie nan nimemtapeli na ni shi ngap na ni lini hii ni kashfa na ukishindwa kutoa huo ushaid nimescreen shot ntaifikisha kwa mod itabid unisafishe kwa madai ya kunichafua la sivyo nafikisha kwa mod ili iwe fundisho aya niambie nani nilimtapeli na ni sh ngap aya semaa usipotee hewan
anadai nilimtapeli nikamuuliza nimekutapeli nini hataki kusema baada akadai nimempa formula haijamsadia nikamuuliza hiyo formula nilioyokupa ilikua inasemaje hataki kusema baadae akadai nihgawe burw formula watu wanufaike nikamwambia wewe si nishakutumia igawe bure hataki kakaa kimya simuelewi kapaka tope jeusi kwenye jina langu huyuAmekuchafua eneo gani huyu??Aisee pole sana[emoji23] [emoji23]
Achana nae huyu kilaza[emoji16][emoji16]anadai nilimtapeli nikamuuliza nimekutapeli nini hataki kusema baada akadai nimempa formula haijamsadia nikamuuliza hiyo formula nilioyokupa ilikua inasemaje hataki kusema baadae akadai nihgawe burw formula watu wanufaike nikamwambia wewe si nishakutumia igawe bure hataki kakaa kimya simuelewi kapaka tope jeusi kwenye jina langu huyu
watoto wa 90 hawa nishaachana naoAchana nae huyu kilaza[emoji16][emoji16]
Hela ngumu hakuna wa kum tapeli kizembe.. Hakuna Tiba za hivyo. NiuwiziAchana nae huyu kilaza[emoji16][emoji16]
watoto wa 90 hawa nishaachana nao
Mpiga dili huyo.....
Sijakimbia anko ila nina mambo mengi ya kufanya so nakosa mda wa kuanza kujibizana na wewe, nawatahadharisha vijana tu wasiingie kichwa kichwa eti wapate formula kwa sh elfu ishirini usawa wenyewe mgumu huu ohoooooView attachment 457000
huku ninazo nyingi tembelea ujifunze
ebu elezea maana mwwnzako kakimbia jf kuna watu wa ajabu sana yaan nimejitoa kusaidia watu alafu wanakuja wau ukucrushvweg wao ni vitoto vidogo visivyo na akiili sema tu tunatumia id fake
fanya hivi ili tuelewe
nani alitapeliwa
lini
shi ngap
katika mazingira gan
Eti mtu apone kwa siku Tatu hivi kweli jamani huu si utapeli wa wazi kabisaHela ngumu hakuna wa kum tapeli kizembe.. Hakuna Tiba za hivyo. Niuwizi
Tupeane msaada juu ya hili kwan wengi tunatambua karanga tu je kuna vingine vinavyosaidia kuongeza?
Maini ya beberu yanasaidia pia