Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Napenda nikiwa na stock ya chupa zile kubwa za K-vant,nasikiaga rahaa sanaa no bugudha niwe alone
 
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Sisi ambao hatujaoa huwa tunaumia sana.( Wanaume mmenielewa)
 
Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
😲Bado unaoga maji ya mvua mkuu?
 
Kulala jamani..hata Kama napika naacha..nilale Kwanza na Kama nipo na yule kiumbe ndiyo kabisaaa natamanigi isiishe..mvua ikikata na usingizi kuisha mengine yanaendelea.
 
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Napenda inikute nimelala na mtoto mzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…