Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah, mambo ya pm siyoo ,acha nikose Mteja tuuTatzo hutaki kuja piemu.. bas nipe namba ako niijie mzigo
Sisi ambao hatujaoa huwa tunaumia sana.( Wanaume mmenielewa)Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
Kuangalia movie/kusikiliza music + kulala, kama nipo na bebe(ru) basi kunjunjana kidoogo + cuddling
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan piemu kuna nnAaah, mambo ya pm siyoo ,acha nikose Mteja tuu
😲Bado unaoga maji ya mvua mkuu?Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
Napenda inikute nimelala na mtoto mzuri tu.Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.