Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Write your reply...kuvungulia machemba yangu ya mavi

sina ela ya kuleta gari linyonye nyumba ni kubwa mnoo ziko mbili kwa pamoja za wapangaji almost 23
Strangelly hii tabia ipo sanaaa mikocheni maeneo ya clouds kote na areas around.
Huwa nashangaa sana.
Maana ni maeneo ambayo hudhaniwa kama civilized sana
 
Strangelly hii tabia ipo sanaaa mikocheni maeneo ya clouds kote na areas around.
Huwa nashangaa sana.
Maana ni maeneo ambayo hudhaniwa kama civilized sana

hakuna cha civilized hapo cha msingi vyoo vyangu visijae Nina mashimo Tisa vikijaa ndo mwanzo wa mlipuko wa magonjwa na wapangaji watanipigia kelele

so mvua ndo mkombozi halisi ikinyesha nafungulia machemba yangu kama yote niondoe vinyesi na uchafu so yanatiririka tu sjui yanaelekea wapi au yanaishia mtaa upi au nyumba zipi cha msingi naepuka gharama zisizo za msingi
 
Back
Top Bottom