ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Duuu mzee unatumia tranka?Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi documenties.
Kwa kumbukumbu zangu naona kama nilinunuliwa taulo na sanduku nikiwa shule ya msingi huko miaka ya 2005 mpaka namaliza mpaka naenda sekondary mpaka chuo mpaka napata ajira mpaka sasa maishani bado tu navitumia na naona viko vizuri tu labda taulo ndo soon nitaligeuza dekio.
ni begi mzeeDuuu mzee unatumia tranka?
Aisee! Kitanda unabadili kila mwaka? Na godoro pia?Kwanini ukae na vitu muda mrefu?
Kitanda chenyewe ninacholalia na Bibi yenu huwa nabadirisha Kila baada ya Mwaka mmoja.
Kitu ambacho nimekaa nacho muda mrefu ni album ya picha tu.
Nimehifadhi kwakuwa ni mkusanyiko wa matukio mengi ya zamani
Documents sio Documenties.Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi documenties.
Kwa kumbukumbu zangu naona kama nilinunuliwa taulo na sanduku nikiwa shule ya msingi huko miaka ya 2005 mpaka namaliza mpaka naenda sekondary mpaka chuo mpaka napata ajira mpaka sasa maishani bado tu navitumia na naona viko vizuri tu labda taulo ndo soon nitaligeuza dekio.
Nimekupata asante kwa correction.Documents sio Documenties.
2005 ulikuwa shule ya msingi?
Mkanda wa ngozi na wallet huwa zinadumu sanaNilinunua mkanda wa kiunoni pale karume sokoni mwaka 2008.
Nauvaa mpaka leo japo sasa nimegain weight umeanza kuwa mdogo.
Ronaldo akistaafu tu mpira nami nitaustaafisha.
Bado liko vzr ni la blue iliyofifia mpaka sasa liko vema.material yake kama utumbo taulo sio yale ya kukakamaa kama ya guestTaulo 2005-2024, miaka 19.
Ulinunuliwa likiwa na rangi gani na kwa sasa lina rangi gani bro.....
Me kitanda labda nikae nacho miaka minne nita change ila sio kila mwaka...labda masofa pia after two yearsKwanini ukae na vitu muda mrefu?
Kitanda chenyewe ninacholalia na Bibi yenu huwa nabadirisha Kila baada ya Mwaka mmoja.
Kitu ambacho nimekaa nacho muda mrefu ni album ya picha tu.
Nimehifadhi kwakuwa ni mkusanyiko wa matukio mengi ya zamani
Mkanganyiko kukanganyaUume
Unafahamu kwaruzo (sijui kama ni jina rasmi); ile ya kusawazisha nywele na nyuma inakuwa na kioo. Aisee, ninayo toka mwaka 1999..!Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi documenties.
Kwa kumbukumbu zangu naona kama nilinunuliwa taulo na sanduku nikiwa shule ya msingi huko miaka ya 2005 mpaka namaliza mpaka naenda sekondary mpaka chuo mpaka napata ajira mpaka sasa maishani bado tu navitumia na naona viko vizuri tu labda taulo ndo soon nitaligeuza dekio.
Unafahamu kwaruzo (sijui kama ni jina rasmi); ile ya kusawazisha nywele na nyuma inakuwa na kioo. Aisee, ninayo toka mwaka 1999..!
Taulo 2005-2024, miaka 19.
Ulinunuliwa likiwa na rangi gani na kwa sasa lina rangi gani bro.....