Vitu gani vidogo vidogo unavyovitumia umevimiliki kwa muda mrefu sana

Hapo lazima haumchoki bibi! Mkibadili kitanda na styles zinabadilishwa ndoa inazidi kukata miaka☺️
Hahaha..........of course hiyo inasaidia pia. Wakati unabadiri hivyo vitu, unafanya ukarabati wa chumba Kwa kuweka taa za rangi rangi pamoja na kupiga rangi upya ya Chumba

Lakini kikubwa ukitaka ufurahie hayo mambo, ni kumtoa out kwenye mazingira mageni.

Akiwa huko anakuwa mtu mpya kabisa. Kama utakuwa una nguvu nguvu kidogo mbona utatamani kufia kwenye kinanii 😜
 
Nilivaa bukta ya shule (primary school) kwa miaka mitatu mfululizo, ilikuwa ndefu na kitambaa chake ni kizito

Niliipenda sana ile kaptula

Ghafla ile kaptula ilikuja kupotea tu maeneo ya nyumbani kabisa nikaitafuta sana nikaikosa, baadae naikuta kwa mtoto wa shemeji yangu (5 yrs older) ameivalia kwa ndani.

Ile nguo mpaka leo naikumbuka na naipenda

ndio kitu kimojawapo nimemiliki kwa muda mrefu
 
Ningependa kumshauri abadiri hilo taulo.

Lazima litakuwa kwenye hali mbaya ya kimuonekano

Ni sawa na baadhi ya wenzetu kutokuwa na tabia ya kubadiri miswaki. Yaani utakuta mtu anatumia mswaki bila kubadirisha hata miezi 4 ama 6 kabisa πŸ™Œ
Mswaki unatumika hadi unachanua kama ua la saa nne 🀣🀣🀣
 
Shule ya msingi miaka ya 2005. Dah!!!
Anyway. Hilo taulo kiuno hakikui?
 

Leso natunza mno, nina leso ina miaka 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…