Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18 ways). Nimeona tofauti kubwa sana kati ya 12 na 18.
Wajuzi wa mambo, kipi kina determine Main Switch ways?
NB: Ukubwa wa nyumba ni vyumba 4 witatu ni Self contained, public toilet, kitchen, sitting room, dining room, store. Two Air conditioners.
Msaada please. Sipendi kubahatisha Nataka kufanya kitu cha uhakika.