Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Fundi wa kwanza obviously atakuwa nanghaeama kwenye wire. Kwenye umeme huwa wanaangali power rating kwa kila wire usizidiwe mzigo so aliyetoa njia 12 possibly akawa sahihi sababu waya hazitakuwa na mzigo mkubwa.Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka nae akaleta Fundi wake akaandika vifaa vyake na Main switch (3 phase 18 ways)
Nimeona tofauti kubwa sana Kati ya 12 na 18.
Wajuzi wa mambo, kipi kina determine Main switch ways?
NB: ukubwa wa nyumba ni vyumba 4 witatu ni Self contained , public toilet, kitchen, sitting room, dining room, store. Two Air conditioners.
Msaada please. Sipendi kubahatisha Nataka kufanya kitu cha uhakika.
Kwanza kulingana na nyumba yako hapo juu hizo main switch ni 3 phase 4 ways which make (12 circuits) na hiyo ya pili ni 3 phase 6 ways which make (18 ways).Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka nae akaleta Fundi wake akaandika vifaa vyake na Main switch (3 phase 18 ways)
Nimeona tofauti kubwa sana Kati ya 12 na 18.
Wajuzi wa mambo, kipi kina determine Main switch ways?
NB: ukubwa wa nyumba ni vyumba 4 witatu ni Self contained , public toilet, kitchen, sitting room, dining room, store. Two Air conditioners.
Msaada please. Sipendi kubahatisha Nataka kufanya kitu cha uhakika.
Shukrani sana mkuuFundi wa kwanza obviously atakuwa nanghaeama kwenye wire. Kwenye umeme huwa wanaangali power rating kwa kila wire usizidiwe mzigo so aliyetoa njia 12 possibly akawa sahihi sababu waya hazitakuwa na mzigo mkubwa.
Shukrani Mkuu, inaonesha Uko vizuri hii field.Kwanza kulingana na nyumba yako hapo juu hizo main switch ni 3 phase 4 ways which make (12 circuits) na hiyo ya pili ni 3 phase 6 ways which make (18 ways).
Kinacho determine ways za main switch ni circuit za nyumba husika ambazo ni kama circuit za taa (taa za ndani na nje ya nyumba) , socket, na air conditioners.
kulingana na nyumba yako ina jumla ya max 9 rooms........so circuit za taa maximum zitakua 4, circuit za socket zitakua 2, circuit 2 za A/C......jumla unakua na circuit 8.
So kwa jumla nyumba yako inakua na circuit 8......so i prefer hiyo ya ya kwanza ya 3 phase 4 ways (12 ways).
shukrani sana nawe pia.Shukrani Mkuu, inaonesha Uko vizuri hii field.
Mkuu unamaanisha 3 phase ni wastage of resource? Physics yangu mwisho form 2 tena ya kuunga unga sana. sina idea yeyote. Ebu Leta elimu mkuu,Come on, mkuu una matumizi mengine au una tegemea kuongeza vitu maana kwa ac mbili kama ni hizi BTU za kaya tu 3 phase ni ya nini?
Pia kwenye idadi ya njia basically tunakua na za taa, socket, fan , cooker etc ila kutokana na rating ya vifaa utakavyotumia kila line isiwe overloadead. Pia acha njia kama mbili free bila load for future.
Akitaka kuwa na AC kila chumba, dining rm na sitting room, sita kwa ujumla hizo circuit zitatosha? Akinunua washing machine na dryer bado zitatosha?Kwanza kulingana na nyumba yako hapo juu hizo main switch ni 3 phase 4 ways which make (12 circuits) na hiyo ya pili ni 3 phase 6 ways which make (18 ways).
Kinacho determine ways za main switch ni circuit za nyumba husika ambazo ni kama circuit za taa (taa za ndani na nje ya nyumba) , socket, na air conditioners.
kulingana na nyumba yako ina jumla ya max 9 rooms........so circuit za taa maximum zitakua 4, circuit za socket zitakua 2, circuit 2 za A/C......jumla unakua na circuit 8.
So kwa jumla nyumba yako inakua na circuit 8......so i prefer hiyo ya ya kwanza ya 3 phase 4 ways (12 ways).
Hata mimi sioni mantiki ya 3phase, itamkula pesa nyingi tu, ila 8ways naona kama ndogo. Walau 12ways ili aache njia mbili kwa matumizi ya baadae. What if anataka kila chumba kiwe na ac yake, kwa vile nyumba nyingi haziwekwi ac's kubwa zaidi ya 24 btu, 12 ways inatosha kabisa.USHAUR wangu:
Funga single phase ila Mainswitch weka ya 8 ways. Ila katika mchanganuo ufuatao.
1. Njia ya Taa zote za nje ya nyumba na kwenye fensi ( photocell).
Funga kwenye miniture ya 20A
2. Njia ya Taa zote za ndani ya nyumba.
Funga kwny miniture ya 10A
3. Njia ya Socket zote za vyumbani na sebleni.
Funga kwny miniture ya 32A
4. Njia ya socket ya jikoni kwa ajili ya kupikia (cooker), friji n.k
Funga kwny miniture ya 63A
5. Njia ya AC number 1
Funga kwny miniture ya 63A
6. Njia ya AC number 2
Funga kwny miniture ya 63A
7. Njia ya PUMP ya maji (Kama utakuja kufunga kisima)
Funga 32A au 63A kutegemea na uwezo wa pump yako
8. Njia ya socket maalum ya dharula na shughuli nzito nzito Kama kuchomelea n.k
Funga miniture ya 63A
Kama ataongeza AC sita kama ulivyosema hapo juu ina maanisha zitaongezeka circuit sita za AC ....,,, ukijumlisha na zile nane za mwanzo ztakua jumla ni 14.......Akitaka kuwa na AC kila chumba, dining rm na sitting room, sita kwa ujumla hizo circuit zitatosha? Akinunua washing machine na dryer bado zitatosha?
Angetafuta injinia wa umeme au fundi mchundo mzoefu amchoree mfumo mzima wa umeme.
Asisahau kuwa nyumba nyingi zimeungua kutokana hitalafu katika mfumo wa umeme. Ni bora kutumia pesa sasa akapata kitu cha uhakika kuliko kubania fedha na kuikosa nyumba yote baadae.
Amandla....
kumbuka ana AC zaidi ya mbili, plus circuit za taa ni tatu kwa hesabu za haraka, bado circuit ya power socket, hapo hujaweka cooker circuit bado hujanunua device zingine kwa matumizi ya ndani, ukiweka hiyo ya single phase ambayo itatosha kabsa labda ya njia 12.......sasa kumbuka ukishakua na AC ( ambapo rate yake ya current inayo draw ni kuanzia 5.07A mpaka 14A) ita draw current kubwa kiasi....Sijaona umuhimu wowote wa kufunga 3phase kwenye hiyo nyumba ya vyumba 4.
Kama hoja Ni hizo AC,
Unaweza funga single phase ya kawaida, Kisha ukatumia DP switch (inagharimu sio zaidi ya 20,000) kutenganisha hiyo mifumo.
Kufunga 3phase,
Utajiingiza gharama za bure zisizo na kichwa Wala miguu, maana mita TU ya luku ya 3phase ukienda kuiomba tanesco wakufungie andaa sio chini ya laki 9 na ushee (almost millioni).
Pia wayaring ya 3phase,
Lazima itakula vifaa vingi na vya gharama Sana tofauti na single phase.
-Mainswitch TU hiyo ya 3phase tronic Njia 18 sio chini ya laki 5
-Circuit breaker ya 3phase tronic sio chini ya LAKI 1
-Cut out kwa 3phase lazima ufunge yenye neutral,na lazima ziwe 3. Kwa tronic bei haishuki elfu 80@pc
Bado makorokoro mengine,
Kiukweli kufunga 3phase lazima ujipange kupasuka, ila kupasuka kizembe namna hiyo haikubaliki mkuu.
Sahii kabisa,Hata mimi sioni mantiki ya 3phase, itamkula pesa nyingi tu, ila 8ways naona kama ndogo. Walau 12ways ili aache njia mbili kwa matumizi ya baadae. What if anataka kila chumba kiwe na ac yake, kwa vile nyumba nyingi haziwekwi ac's kubwa zaidi ya 24 btu, 12 ways inatosha kabisa.
Hata zingekua ac 5 mkuu,kumbuka ana AC zaidi ya mbili, plus circuit za taa ni tatu kwa hesabu za haraka, bado circuit ya power socket, hapo hujaweka cooker circuit bado hujanunua device zingine kwa matumizi ya ndani, ukiweka hiyo ya single phase ambayo itatosha kabsa labda ya njia 12.......sasa kumbuka ukishakua na AC ( ambapo rate yake ya current inayo draw ni kuanzia 5.07A mpaka 14A) ita draw current kubwa kiasi....
so its better ukafunga 3 phase tu kwa usalama wa umeme na baadae incase akaongeza nyumba pembeni au nyumba pembeni , si unajua nature ya nyumba zinavyojengwa bongo.