Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

Ni suala la kufunga single phase mbili kugawanya load. Lodge nyingi mjin wanafny hivo. Mita Hadi 4 wanafunga
 
Ni suala la kufunga single phase mbili kugawanya load. Lodge nyingine mjin wanafny hivo. Mita Hadi 4 wanafunga
kwa mantiki hiyo 3-phase haina maana tena na transformer zote zingekua 1-phase

na kama unavuta mita mbili ila kutoka phase moja haina maana pia, kila mwenye kuzidi 15kW afunge mita mbili, iyo line hapo mtaani itapata umeme mdogo (low voltage) maisha

mgawanyo sawa wa load ( load balance ) ifanyike kwa kila phase,
 
You must be an Electrical Eng
 

Unachosahau Ni kwamba hizo ac unazosemea haziwashwi MDA wote na siku zote,Kikawaida Kwa matumizi ya nyumban mpk uje uzidi kw 15 sio rahisi kiivyo.

Nyumba nyingi hata kw 2 hawamalizi,
Ofsin kwangu nna matumiz makubwa Sana na ac 2, ila hata kw7 sijawai kuzidi

Mara nyingi nacheza kw 3, nmezidi Sana nafika kw 5. Kivp Nafikaje kw 15
 
Unachosahau Ni kwamba
sijasahau, kuna Demand Factor(DF), peak load (vyombo vingi vinakua on)vs base load(matumizi ya kawaida), zote zinakua considered kwenye mahesabu

kwenye sizing siyo ya 'transformer' tu, hata ya 'generator' calculations lazima ifanyike,

hujawaiona sehem Tanesco kila usiku saa 1 inapigiwa simu kwa dharura kwamba 'line' flani haina umeme, je unajua sababu ni nini ?

wanakuja wanarekebisha, kesho tatizo liko palepale

hujawaiona 'line' flani ina umeme mdogo kuliko 'line' nyingine ? ikifika saa 4 nyumba kadhaa ni mwendo wa giza mpaka saa 7 usiku

je unadhani genereta kuunguruma kusiko kawaida na kutoa makele sababu ni nini

ndiyo madhara ya kufanya mambo kienyeji , unabebesha mzigo 'phase' moja tu ili kuokoa fedha
 
Idadi ya circuit kwenye nyumba yako ndo ina determine Aina ya MainSwitch
 
Why not 12 ways single phase??

Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
 
Hapo unakua huna reserve hata moja ikitokea unataka kuongeza vifaa inakuwa issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…