Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!