Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
525
Reaction score
1,155
Assalam ndugu

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Ni vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka sana

Mimi binafsi dharau na sifa za kijinga
nikishakujua unadharau na sifa za kijinga huwa nakuchukia tu hamna namna

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom