Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

Nakutext Niaje afu unanijibu P au K au uandishi wako wa sms kwenye S na Z unaweka X nakublock fasta 🙂
 
Dudu the donn[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125]
hahahahaha daaah unapeeeeeeenda kunijaza upepo
 
Humu kila mtu sipendi hiki, sipendi hiki alafu izo tabia tunazo wenyewe

mie sipendi ulalamishi wa kipuuzi mengine utajijua mwenyewe huwa nayakaushia
 
Back
Top Bottom