Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Salamu ruksa ila changamoto ndo nazipembua kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Salamu ruksa ila changamoto ndo nazipembua kwanza
Umeona eeeh...salam ruksa[emoji23]Ngoja tuone
[emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa ruhusaSalamu ruksa ila changamoto ndo nazipembua kwanza
Hapo sawaUmeona eeeh...salam ruksa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa ruhusa
Hapo sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeona eeeh...salam ruksa[emoji23]
Yani kama huu wangu nyama yake ni teke sana[emoji23] [emoji23] kweli mama,si unajua mioyo yetu ya nyama
Sasa nikuulize swali shem..Hapo sawa
Is IGNORE a possibly viable option?What to Do When You Hate, but Can’t Leave.... It's very interesting.... tehteehhh
Mkuu huyo wa kutawala mazungumzo tunaye ofisini yani yy akifika watu wote tunanyongea tunakuwa wapole akikuta mnapiga story zenu anakata anaanza zake na akiona haumjali anakutikisa kabisa mabega. Halafu mbaya zaid ananyesha.kuniambia uongo, aisee sipendi kabisa hii tabia. nikishakugundua ipo hatari ya mimi kupunguza ukaribu na wewe. tabia nyingine ni dharau na kupenda kutawala mazungumzo, yaani unakuta mtu mnapopiga story yeye tu ndo anapenda aongee, hii ni aina fulani ya dharau pia. uzuri mimi sipendi unafiki, nikishagundua mtu una tabia hizi nakaa mbali na wewe au mara chache naweza nikakuchana ili uamue mwenyewe kujirekebisha kama utapenda.