Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

Wanawake design hii yako huwa wanapatika wapi wazee nimeamua kutongoza manzi aliye na Ajira na mpolempole niane kama naye atatokea Kama ninaowaonaga kwenye stori 😂😂😂 nitampa penzi huyu mtoto mpaka siku asemw baby shika 100,000 ulipe kodi
 
Wazazi wa hovyo walioshindwa kuwafundisha maadili watoto wao
IMG-20230224-WA0006.jpg
 
Unawakilisha ubinafsi wa wanawake
Sio ubinafsi wa mwanamke,mwanaumee anapaswa abebe familia yake kumuacha mke afanye yote hayoo inapunguza mwanaumee kujiamini kabisaaa
Hata kama nna PESA ntamuacha afanye yeye akizidiwa aniambie Raha ya mwanaumee awe baba,kichwa na kiongozi bwanaaaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama.

Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu.

Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea nyumba ya kisasa, ilipo kamilika wakasema nataka kumtoa kafara mtoto wao ili nikuze biashara zangu, kumbe kuna msichana mwingine wamemtafutia mtoto wao.
Dada ulijenga ukweni?
 
Njoo pm my

Kumridhisha binadamu haijawai kuwa kazi rahisi.
👉utamtendea jema, ila bado hatotosheka
👉Siku ukikosea, atafanya Kama vile umeikosea mbingu

Kikubwa never have big expectation towards anyone.

Honest is an expensive thing don't expect it from cheap people.
 
Kuna uzi humu bibi aliuza hadi nyumba ya urithi ili kumtibu mama mkwe maradhi ila alifariki,binti akampa mtaji wa biashara jamaa biashara iliponoga jamaa akamsaliti ati kisa alimuoa bibie akiwa na mtoto mmoja wakaja kuzaa mwingine lakini akasikiliza maneno ya watu ati utaanzaje mechi 1-0. Hivyo akatafuta ka binti kanakoendana na pesa alizokua anapata
 
Back
Top Bottom