Toredo0
Member
- Mar 12, 2023
- 47
- 96
MWANAUME
Sheria no 1
Kamwe usi ruhusu mwanamke aka ku control ww usipokua tu kama akisema kazime taa kwanza au aki sema nifungue brazia vunja iyo Sheria uraendelea nayo badae!
Sheria no 2
Dada wa rafiki yako ni dada yako pia usi thubutu Wala kujaribu ku mgusa!
Sheria no 3
Adui wa rafiki yako ni adui yako pia lazima uchague upande Mmoja utakao simama!
Sheria no 4
Kamwe usi mtendee mwanaume mwenzio dharau au ubaya usiopenda kutendewa ww na wengine!
Sheria no 5
Kamwe usi date au ku mtongoza mke wa mtu!
Sheria no 6
Kamwe usi tumie pesa kwa mwanamke ili akupende ila tumia pesa ku mtunza na kupatia furaha mwanamke anae kupenda!
Sheria no 7
Kamwe usi toe Siri za rafiki yako kwa mke wake kama kweli una chukizwa na tabia zake mkanye kimya kimya kama mwanaume!
Sheria no 8
Umasikini ndio adui mkubwa namba Moja wa mwanaume yeyote yule jitahidi ukae mbali na mambo au tabia zitakazo kushikilia kwenye umasikini
Sheria no 9
Mke wa rafiki yako sio rafiki yako usi mzoee Wala marafiki wa mwanamke wako sio rafiki zako usi wazoee, marafiki zako sio marafiki wa mwanamke wako usi ruhusu maziwa ayo!
Sheria no 10
Haijarishi una upendo kiasi gani ila kamwe usi muamini mwanamke wako ishi uki tegemea muda wowote anaweza aka ku sariti hii ita kusaidia kuishi na mwanamke wako kwa akili kama vile mungu alivyo kuagiza!