Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

Ukweli Mtupu.
 
Huu ni mtandao kwa ajili ya picha tu ambazo zinakuwa generated na ideas kutokana na search history. So kama kwa mfano unapenda mapishi basi utaletewa picha za mapishi. Download ujionee
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Usipomtaja Jiwe hujisikii Kabisa?!!,Ngoja atakuita ili muwe wote mpige stori vizuri.
🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭🀭
 
Zamani kwenda kutuma email au kuchek email lazima uende City Centre kulikuwa na Internet cafe ya wahindi ...cyber cafe
Hapo unafunguliwa unasomewa email yako
Aise tumetoka mbali

Ova
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ila kadri siku zinavyozidi kkwenda ubunifu unakuj kwa kas tofauti na mambo yazamani. Sasa HV Hawa watot 2000s wako faster Sana utaona unaona wanavyokuja kwa kas ya 4g
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…