Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
- Thread starter
- #61
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°I love you pinterest ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°I love you pinterest ππ
π§π§π§π§π§π§π§Betting haikuwepo
Radio zilikuwa sijui 3 nchi nzima
ππππππππππUmeisahau jf mkuu hii nayo si ya juzi juzi tu hapa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£βΉβΉβΉ dah wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana
π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±Tulikuwa na Geocities, Darhotwire na Nyenzi.
π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±π±Singeli
Julius kambarage nyerere havikuwepo
Ukweli Mtupu.Kulikuwa na Hi5, MySpace, zorpia na mitandao mingi ya dating ilivyokuwa maarufu ulaya na marekani kabla haijaanzishwa Facebook, betting zimekuwepo ulaya na marekani kwa miaka mingi bongo ndio imekuja juzi. Bongo mwaka 2000 ITV walikuwa na betting yao jackpot bingo
ππππππππππHuu ni mtandao kwa ajili ya picha tu ambazo zinakuwa generated na ideas kutokana na search history. So kama kwa mfano unapenda mapishi basi utaletewa picha za mapishi. Download ujionee
π±π±π±π±π±π±π±π±Vilikuwepo kwa majina mengine.
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€Usipomtaja Jiwe hujisikii Kabisa?!!,Ngoja atakuita ili muwe wote mpige stori vizuri.
π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±π₯±Connection
π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€π€Umesahau na connection j.
π±π±π±π±π±π±π±π±π±Mchepuko wangu ![emoji38][emoji38][emoji38]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Muda unaenda kasi sana..mtoto wa sasa ukimwambia kulikuwa na kutumiana barua hawezi kukuelewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Halafu hatujavumbua hata kimoja
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tumbili??? WTF?!
NomaMi nafikiria tu vitakavyofuata baada ya hivi, yaani 10-20 miakas mbele. Itakuwa hatari tupu!
πππππππππZamani kwenda kutuma email au kuchek email lazima uende City Centre kulikuwa na Internet cafe ya wahindi ...cyber cafe
Hapo unafunguliwa unasomewa email yako
Aise tumetoka mbali
Ova
πππππππππππIla kadri siku zinavyozidi kkwenda ubunifu unakuj kwa kas tofauti na mambo yazamani. Sasa HV Hawa watot 2000s wako faster Sana utaona unaona wanavyokuja kwa kas ya 4g
ππππππππππππHongera! Uzi mzuri sana.