Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

Kwenye magari kilikuwa hakuna ving'amuzi Wala tochi.

Huduma za kifedha za simu (mpesa, tigo PESA nk)
Bundle internet na mda wa maongezi
 
Kulikuwa na msn messenger na Yahoo messenger kijana! Msn messenger yangu nilisahau password sijaweza kuitumia ila Yahoo messenger mpaka leo ipo hewani Toka 2002. Mitandao hiyo haikwepo Wala simu za internet hazikuweza fanya kazi maana mitandao haikutoa huduma hiyo. Mambo yalikuwa sms tu na calls. Internet mpaka uwe na computer na hakukuwa na modem yaani wireless internet
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Na watoto wa sasa hiv wamekosa yale malezi yetu ya kibabe sana,
wamekua laini sana
 
Kulikuwa na msn messenger na Yahoo messenger kijana! Msn messenger yangu nilisahau password sijaweza kuitumia ila Yahoo messenger mpaka leo ipo hewani Toka 2002. Mitandao hiyo haikwepo Wala simu za internet hazikuweza fanya kazi maana mitandao haikutoa huduma hiyo. Mambo yalikuwa sms tu na calls. Internet mpaka uwe na computer na hakukuwa na modem yaani wireless internet
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICE

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
20 LTE 20Mbps 115,000/=Tu kila mwezi

Supa kasi Internet Unlimited bundle
Free Router+Antenna. (Wireless Router)
30 LTE 30Mbps 165,000/=Tu kila mwezi

For more information
Please check me [emoji338]0743326684

Vitu kama hivi havikuwepo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom