INAUZWA Vitu hivi vinauzwa kwa bei nafuu, friji, pasi, Suwboofer, king'amzi cha startimes, feni na DVD player

INAUZWA Vitu hivi vinauzwa kwa bei nafuu, friji, pasi, Suwboofer, king'amzi cha startimes, feni na DVD player

Mkuu umesema fridge halitumii umeme mwingi,je Linatumia units ngapi kwa siku??(24hrs).
 
Radio tayari limesha nunuliwa bado vitu vingine na kuna watu wengi wanaviihtaji kwaiyo atakae wahi na kichangamka ndo huyo nitafanya nae biasha.. Karibuni sana wote.
 
Back
Top Bottom