Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Kujilamba mdomo wakati wa kuongea
Kuvaa hereni! !
Kujichubua!!
Kujipendekeza kwa wanaume wenzio kisa tu anapesa au maarufu! !
Kuazima nguo! !
Kujikuna kichwani na kidole cha kati! !
 
Kujilamba mdomo wakati wa kuongea
Kuvaa hereni! !
Kujichubua!!
Kujipendekeza kwa wanaume wenzio kisa tu anapesa au maarufu! !
Kuazima nguo! !
Kujikuna kichwani na kidole cha kati! !
Yapo hayo
 
Jamaa kajaza mbaya bonge baunsa,anakuletea soo!
Mtoto wa kiume hapo ukimbie au mtandikane?
Izo nyama tu ata kwenye sambusa zipo..
.usiogope nyama.
Baunsa akija kwanza kabla ya yote mpige fingers za macho....then mpige vitasa usoni na kwenye mbavu. Then tambaa.
 
mtoto wakiume hafai kutoa mada kama hizi kuhusu wanaume wenzake labda awe shoga,ni mwanamke tu ndio anajua mwanaume kamili,
 
Kunywa savanna na amarula! Mtoto wa kiume unagonga lager km castle na safari ala
 
Dooh. Basi kama ni ivyo mbona wanaume wote watakuwa ovyo. Ila mimi piga ua napenda sana taarabu na hasa nyimbo za mzee yusuph. Ila ni mwanaume rijali. Asikwambie mtu taarab raha na hasa kama umekulia mikoa ya pwan kama dar.
Wanaume wa pwani na dar mnapenda sana taarabuu kumbe
 
Mtoto wa kiume hutakiwi kua umejinenepea hovyo,umejazia sehem zote kama kiroba

mtoto wa kiume hutakiwi kutembea umelegea legea kama msichana,tembea kikakamavu
Hyo ya pili kweli aisee haruc moja hivi nilikwenda bwana haruc huo mwenso wake yaani shoga huyu hapa.sikupenda
 
Mtoto wakiume hutakiwi kusema…… " nimekumisijee"
 
mtoto wa kiume kulalama kama mwandika thread hii.. mtoto wa kiume kula kavu potezea si ushajuwa ni ushoga
 
mtoto wa kiume halalamiki njaa bali anasubiri mda muafaka wa kula...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…