Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Mtoto wa kiume inabidi uwe mgumu na usiwe na demu kabisa. Uwe gangstar na usiongee na mademu kabisa. Usioe na uishi kigetogeto maisha yako yote.
 
Mtoto wa kiume inabidi uwe mgumu na usiwe na demu kabisa. Uwe gangstar na usiongee na mademu kabisa. Usioe na uishi kigetogeto maisha yako yote.
Labda kama anampango wa kuwa mhashamu Baba askofu
 
Mtoto wa kiume hupaswi kukimbia majukumu ya familia yako, jumuiya unayoishi, na jamii Kwa ujumla inayokuzingira. Na kamwe mtoto wa kiume afikirii au kutamani kurudi utotoni pindi apatapo shida.
Ulimtabiria Darassa.???
''Rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni''
 
1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu.
2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah,
ama OMG'
3. Ukiomba kitu hufai kusema," Jamaaaniiiii au pliizzzz '
4. Ukitext please usitumie," Xo' 'Xema' 'Xaxa' 'Pouwar' ama 'Xwirry'
5. Kummendea demu/mke wa rafiki yako, shemeji shemeji kibao ..shauri yako utakojoa dagaa .
6. Hufai kuongea kuhusu washikaji wengine ukiwa na madem. Huo ni umbea mwanangu.
7.Rangi ya pink usiitumie sana kwenye vitu vyako ata kama unaipenda sana.
8. Dem akikukataa chapa lapa kiroho safi na sio eti uanze kudanganya masela ooh yule mi nishammega.
9. Usiongeeongee eti unaeza kumpiga mtu flani. Huo ni utoto, kama vp nenda kampige tuone.!
10. Usiwe mtu wa kununa ovyo ovyo, alafu kuhusu vitu vidogo vidogo, mfano; msela kachelewa kujibu msg yako..basi unanuna siku nzima unamnunia nani !
11. Kuchek tamthiliya tena na madem alafu mnaanza kuhadithiana ilivyokuwa.! sijui Aliando vile mara MariaClara hivi


#Ongezea zingine.
kukojoa dagaa ndo nini?
 
Aiseee mniache na mlege wangu dadeeki

Yani mnataka nivae on top of waist uani kujichole kama hawa mademu wanaovaa high waist??

Hii ishu kama niliweza kugombana na walimu skonga basi hata humu nanunua ugomvi
 
Back
Top Bottom