MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
Haya maneno anapenda sana kuyatumia Emmanuel Likuda wa Clouds wa Kwenye kipindi cha Jahazi.
yeah mkuu hujakosea anapenda kutumia neno JAMANIIIII...hua na mshangaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno anapenda sana kuyatumia Emmanuel Likuda wa Clouds wa Kwenye kipindi cha Jahazi.
mtoto wa kiume usilegeze sauti unapoonge
Mtoto wa kiume sio unapga miayo unaziba mdomo,achama mdomo wote.
Kujidai kila kitu kinagoma wakati ukweli ni kuwa huna mpango wowote! !!!!!
Mtoto wa kiume ni marufuku kumpigia magoti demu
1.kusikiliza taarabu za kina mzee yusuph zile.
2.kumwambia mwanaume mwenzio umemmis(ukinambia mimi nakupiga na jiwe)
3.kuvaa suruali za kijani,njano au pink tena zile za kubana.
4.kuvaa milegezo
5.kumwita mwanaume mwenzio 'wangu',dear,mpenz.
5