kuntakyusa
Member
- Apr 8, 2014
- 46
- 12
Hyo ya kumpamimba dem alafu unasema bahati mbaya nimeipenda sana coz ndo tabia ya mijanaume isiyojitambua
Hiyo si mitoto ya mama!mtoto wa kiume haogopi majukumu anakaza mwanzo mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo ya kumpamimba dem alafu unasema bahati mbaya nimeipenda sana coz ndo tabia ya mijanaume isiyojitambua
Mh basi tupo na mishoga mingi
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa na tamaa na simu, mara Iphone mara galaxy s5, mtoto wa kiume yake nokia tochi
1. Ata uone kitu kimekaa poa niaje hutakiwi kusema," Awww, that's soo cute.Huo ni ushoga mtu wangu.
2. Haufai kusema aya maneno kuonyesha umeshtuka," Gosh, Akaah,
ama OMG'
3. Ukiomba kitu hufai kusema," Jamaaaniiiii au pliizzzz '
4. Ukitext please usitumie," Xo' 'Xema' 'Xaxa' 'Pouwar' ama 'Xwirry'
5. Kummendea demu/mke wa rafiki yako, shemeji shemeji kibao ..shauri yako utakojoa dagaa .
6. Hufai kuongea kuhusu washikaji wengine ukiwa na madem. Huo ni umbea mwanangu.
7.Rangi ya pink usiitumie sana kwenye vitu vyako ata kama unaipenda sana.
8. Dem akikukataa chapa lapa kiroho safi na sio eti uanze kudanganya masela ooh yule mi nishammega.
9. Usiongeeongee eti unaeza kumpiga mtu flani. Huo ni utoto, kama vp nenda kampige tuone.!
10. Usiwe mtu wa kununa ovyo ovyo, alafu kuhusu vitu vidogo vidogo, mfano; msela kachelewa kujibu msg yako..basi unanuna siku nzima unamnunia nani !
11. Kuchek tamthiliya tena na madem alafu mnaanza kuhadithiana ilivyokuwa.! sijui Aliando vile mara MariaClara hivi
#Ongezea zingine.
Mtoto wa kiume hapigi punyeto tafuta demu piga ukikosa hata wa ambiance
mtoto wa kiume hutakiwi kushabikia Arsenal
Mtoto wa kiume hutakiwi kunukia nukia, mwanaume nuka mavi mavi.
mtoto wa kiume hautakiw kushabikia serikali 2
Mtoto wa kiume hatakiwi kuwa na tamaa na simu, mara Iphone mara galaxy s5, mtoto wa kiume yake nokia tochi
wa kiume hapaswi kurudi nyuma kwenye tukio lolote na kugegeda mwanaume halisi ni muda wa masaa 5 bila kupumzika