Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Rubbish!...hayo yote ni maoni yako na yatabaki vile vile...maoni yako......upuzi!.
 
Mtoto wa kiume usiwe mmbea, ndio maana una koromeo. Hizo ni tabia za magay.
Mtoto wa kiume usijifanye unamjua mtu sana, kushobokea utali.........
 
Ni kweli boss kuuliza unafanya kazi wapi' huo ni umbea acha mwenyewe atakueleza unataka ujue ili iweje
 
1.kusikiliza taarabu za kina mzee yusuph zile.

2.kumwambia mwanaume mwenzio umemmis(ukinambia mimi nakupiga na jiwe)

3.kuvaa suruali za kijani,njano au pink tena zile za kubana.

4.kuvaa milegezo
5.kumwita mwanaume mwenzio 'wangu',dear,mpenz.

5

Kiukweli hakuna kitu huwa kinakikera kama mtoto wa kiume kunitumia meseji afu ananiita 'wangu'! natamani nimuoe kabisa.
 
Back
Top Bottom